Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

So, Klopp has left out Naby Keita kwenye CL squad this season.

Yes, kulikuwa na misundertanding, as Keita complained about game time, so kama imekuwa serious hivi, why just not letting him go? Dortmund & Leipzig were interested, tungemuacha aende, what is klopp trying to do?

kila siku Klopp alikuwa quoted kuwa Keita hajawahi ku-moan kuhusu game-time, but one time anapoamua ku-moan/complain utanaka kum-freeze out? ku-complain kuhusu game-time, siyo hata utovu wa nidhamu, kila mchezaji anataka kucheza, this is absurd.

Bust up ilitokea kabla ya TW kufungwa, kama alikuwa anataka kuondoka wangemuacha aende, sasa hii ambayo Klopp anamfanyia sio vizuri, na its always BLACK PLAYERS, always.
🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿Duuh Keita freezed sababu ya kudai game time huku Liverpool wakikataa ofa kutoka kwa timu zingine kumhitaji, mbona sasa Klopp anachemka kazi, too bad kwenye mikataba yao hawa wachezaji inawabana kusema haya maneno.
Keita nishasema huyu auzwe chap hatupo perfect fit hivyo akasake maisha kwingine ni ajabu sasa Klopp anataka kumwajibisha hivi hivi kwa kutaka game time regardless ya injury record hii ndio ajira yake.

Hakika kale kaharafu ka ubaguzi kwenye hili kanaanza onekana sasa, iweje akomae na Milner, Henderson wapewe mikataba aafu auchune kwa Wanyamwezi wetu huku wakiodoka wengine kwenye form kama vile Mane na Gini.

Karma is real, Klopp is no immune.

YNWA
 
Kwa ubaguzi wao na upendeleo wa kipumbavu hili timu litafungwa hadi mwisho.
 
🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿Duuh Keita freezed sababu ya kudai game time huku Liverpool wakikataa ofa kutoka kwa timu zingine kumhitaji, mbona sasa Klopp anachemka kazi, too bad kwenye mikataba yao hawa wachezaji inawabana kusema haya maneno.
Keita nishasema huyu auzwe chap hatupo perfect fit hivyo akasake maisha kwingine ni ajabu sasa Klopp anataka kumwajibisha hivi hivi kwa kutaka game time regardless ya injury record hii ndio ajira yake.

Hakika kale kaharafu ka ubaguzi kwenye hili kanaanza onekana sasa, iweje akomae na Milner, Henderson wapewe mikataba aafu auchune kwa Wanyamwezi wetu huku wakiodoka wengine kwenye form kama vile Mane na Gini.

Karma is real, Klopp is no immune.

YNWA
na huyo keita mkataba wake unaisha mwakani so ataondoka bure hawezi kubaki akili za kloop kuna muda ni bangi tu badala amuuze tu ana komaa nae
 
its 2022 James Milner anaanza kikosi cha kwanza champions league ugenini dhidi ya Napoli
Narudia tena Klopp pride is his downfall...

Yalimkuta Bill Shankly kukubatia aging squad ikifika mahala wenye timu wakasema haikumbariki akapata ajira msaidizi wake Paisley n the rest is history...

Kikosi cha Real Madrid kilichocheza 2018 na Liverpool kimefumuliwa nadhani wapo wachezaji wawili tu ama watatu lakini sie tumoo na 4 3 3 yetu na imeshajuliwa na karibu timu zote.. Hiki kikosi mpaka sasa kilitakiwa kiwe kimeshafumuliwaa...

Honestly sioni jipya kufungwo na Napoli kwa sababu dalili zipo nje nje tangu msimu unaanza.. Klopp hajasaidii kwa kutofanya maamuzi magumu.

Muda utasema anatupeleka wapi Klopp.

Hivi kwani hadi leo hatujui kuwa anatupeleka shimoni?🤣🤣

Real Madrid wametutandika kila fainali tunayocheza nao.
 
Wolves anawasubiri jumamosi
istockphoto-693741388-612x612.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom