Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 James Milner vs Napoli:

• 63 mins
• 0 shot attempts
• 0 dribbles completed
• 0 interceptions
• 0 clearances
• 0 blocks
• 1 key pass
• 4 fouls committed
• 2/10 ground duels won
• 1 aerial duel won
• 1 tackle
• 1 penalty committed

Has Klopp lost the plot? Or klopp has already lost some of the locker room? Its embarrasing to watch us play now days. #FSGOUT
 
Inakata stimu sana.
Wachezaji wapo japo umri wao sio lakini tazama Elanga Manchester United anapataga dakika za kutosha, au Foden pale Manchester City alivyopambana kuimiriki namba haya yanatokana na imani ha mwalimu kwa vijana wake lakini yeye Klopp anakomaa anachokijua....

Klopp we need answers..

YNWA
Halafu ati anamshangaa Man UTD kwa kutomuanzisha Captain Magwaya..eti how can you do that to your Captain.
Nikajisemea tu kuwa kweli bangi mbaya😂😂😂😂😂

Sasahivi zile nyimbo zote tulikuwa tunaimba in Klopp we believe 😃Zimeyeyuka 🤣🤣🤣🤣
 
Atasema saa ya referee iliharibika🤣🤣🤣
🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓... Ila jamani kufungwa nyie haha du kweli jamaa zetu wa Manchester United na Arsenal wametoka mbali mpaka kuja kuenjoi hizi good time yaaani nwa yana mwisho...

Ndio maana hua nasema enjoy while you can maana hujui lini mambo yatakua kama yalivyo Liverpool.

YNWA
 
󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 James Milner vs Napoli:

• 63 mins
• 0 shot attempts
• 0 dribbles completed
• 0 interceptions
• 0 clearances
• 0 blocks
• 1 key pass
• 4 fouls committed
• 2/10 ground duels won
• 1 aerial duel won
• 1 tackle
• 1 penalty committed

Has Klopp lost the plot? Or klopp has already lost some of the locker room? Its embarrasing to watch us play now days. #FSGOUT
Jamaa yeye anachoweza ni kutema mate.
Milner atusaidie tu mechi za kupiga penalty,,hizi nyingine hapana.
 
Can't believe I'm saying this but klopp is a big part of our problem's. He keeps playing the same tactics for 5+ years every man and there dog knows how to play against us now he needs to step up. But the big problem is the way FSG refuse to spend. They need to go simple as that. #FSGOUT
 
🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓... Ila jamani kufungwa nyie haha du kweli jamaa zetu wa Manchester United na Arsenal wametoka mbali mpaka kuja kuenjoi hizi good time yaaani nwa yana mwisho...

Ndio maana hua nasema enjoy while you can maana hujui lini mambo yatakua kama yalivyo Liverpool.

YNWA
Bora hata mfungwe mkiwa mmeshajaribu options zote ie kikosi kipo cha kutosha, mazoezi ya kutosha basi tu bahati haipo upande wenu

Kuliko kuja kufungwa kwa upumbavu wa mtu mmoja anayejiona exceptional kwamba yeye anaweza kucheza tu bila hata wachezaji.
Wenzie wanapambana kusajili,yeye anajiona wa tofauti.

Moyo unauma🥺
 
Can't believe I'm saying this but klopp is a big part of our problem's. He keeps playing the same tactics for 5+ years every man and there dog knows how to play against us now he needs to step up. But the big problem is the way FSG refuse to spend. They need to go simple as that. #FSGOUT
Siamini jamaa ametuuza kiasi hiki huu msimu😂😂😂😂😂
 
Halafu ati anamshangaa Man UTD kwa kutomuanzisha Captain Magwaya..eti how can you do that to your Captain.
Nikajisemea tu kuwa kweli bangi mbaya😂😂😂😂😂

Sasahivi zile nyimbo zote tulikuwa tunaomba in Klopp we believe 😃Zimeyeyuka 🤣🤣🤣🤣
ETH pale Manchester United alikaa akaona kwanza alitemwa Moyes, akaja Van Gal, akaja Mourinho, akaja Ole tupa hukooo, sasa akasajiliwa ETH na hakua na utani utani kabisaa akaone hapana hii imekaa vimbaya chap akawaweka Ronaldo na Maguire benchi na kuanzia hapo taratibu sasa Manchester United wanaanza kurejea kwenye ubora wao.

YNWA
 
Screenshot_20220907_234531.jpg

YNWA
 
Hata angekuwepo Mane bado tungefungwa maana shida yetu ni katikati.
Nyinyi shida yenu ni zaidi ya viungo, Timu lenu tokea kuondoka kwa Mane molari imepungua sana kwa wachezaji, ni Diaz tu peke yake ndie anajituma mwanzo mwisho ila hawa wengine waliobakia wameshajionea ujinga, yaani unaipambania timu kama alivyo kua Mane halafu mwisho wa siku unaonekana ni takataka tu usie na thamani yoyote.
Muangalie sasa hivi VVD, Fabinho na Salah wanaingia uwanjani ili mwisho wa wiki wapokee tu mishahara yao maisha yasonge, washatambua kujituma sana mbele ya FSG ni utumwa unaoifaidisha zaidi kampuni .
 
Mashabiki wa chelsea na liva wakifungwa unashangaa na wenyewe wanaungana na nyinyi kuiponda timu na kuleta matakwimu ya ajabu ajabu sijui wanayatoa wapi.

Tofauti ni kwamba liva hawawezi kutumia defense ya 'Nilivyoona kikosi tu nikajua leo tunafungwa' hii ni kwakua wao kikosi chao ni hicho hicho kwa miaka zaidi ya minne sasa.
 
Nyinyi shida yenu ni zaidi ya viungo, Timu lenu tokea kuondoka kwa Mane molari imepungua sana kwa wachezaji, ni Diaz tu peke yake ndie anajituma mwanzo mwisho ila hawa wengine waliobakia wameshajionea ujinga, yaani unaipambania timu kama alivyo kua Mane halafu mwisho wa siku unaonekana ni takataka tu usie na thamani yoyote.
Muangalie sasa hivi VVD, Fabinho na Salah ni wanaingia uwanjani ili mwisho wa wiki wapokee tu mishahara yao maisha yasonge washatambua kujituma sana mbele ya FSG ni utumwa tu unaoifaidisha kampuni zaidi.
Sasa hela zenyewe wanawapa kidogo halafu wanajisifu kuwa wanatumia kidogo na output ni kubwa...
Wachezaji wanapambana sana kwa ajili ya timu lakini hakuna Chochote wanachopata,
Wamiliki wanaona timu zinazolipa mishahara mizuri ni mazuzu.

Hata ungekuwa wewe, ungekubali kutenguka bure kupambania watu wanaojisifu kukulipa kidogo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom