Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,255
Na watufunge tu hivihivi kila siku hadi msimu usishe.Wenzako wanaingiza vijana uwanjani ww unaenda kuingiza wazee mamaeee
Yeye si anajitoa ufahamu.
Na watufunge tu hivihivi kila siku hadi msimu usishe.Wenzako wanaingiza vijana uwanjani ww unaenda kuingiza wazee mamaeee


Unaona tayari mshaanza kushikwa na ugonjwa wa kideli mumeanza kuchanganyikiwa ovyo.Sisi kama Liverpool tunapindua Meza
Yo ll never walk alone
FT napol 3
Liverpool 5
Huko Bayern Munich Mane yupo na pacha wake Sane wanakimbiza balaaaaa, wanapambana kama vile timu ni baba yao.Na watufunge tu hivihivi kila siku hadi msimu usishe.
Yeye si anajitoa ufahamu.
Kudadadeki nyie yani mnaenda kufanya alicho fanya cheltako jana mikeka yangu mama weeee.
Hata angekuwepo Mane bado tungefungwa maana shida yetu ni katikati.Huko Bayern Munich Mane yupo na pacha wake Sane wanakimbiza balaaaaa, wanapambana kama vile timu ni baba yao.
Inter Milan anapelekewa moto mpaka anataka kukata moto.