Liverpool FC (The Reds) | Special Thread



Unasemaje kuhusu Man city season hii wamesajili for cheap wachezaji Kama Akanji lakini wanaonekana watakuwa better kuliko wa man United.....what's your opinion?
 
Namlaumu sana klopp kwa kumuacha mane aondoke.... gap la mane n kubwa mnooo
 
Unasemaje kuhusu Man city season hii wamesajili for cheap wachezaji Kama Akanji lakini wanaonekana watakuwa better kuliko wa man United.....what's your opinion?

Tuzungumze mambo ya timu yetu hivyo vingine havina maana
 

Kuna hizi Timu zimetueka kwenye hatari ya kutukosesha Top 4.

1) Man City
2) Chelsea
3) Man United
4) Arsenal

Liverpool & Spurs tunaweza jikuta tunagombania nafasi ya 5&6.

Najua Washabiki wa Liverpool ni Kama Kenge hawaamini mpaka waone Damu zinawataka masikioni lakini hatari ipo mbele yetu.

Zile kauli za kuwa "Man United na Arsenal ndiyo kawaida yao" basi msimu huu tusizotegemee sana.
 
Huyu Nunez hamna kitu huyu anawahi kupanick mno, Mané yeye alikuwa akichezewa lafu anacheka tu kakin hili li Nunez litaoga redcard nyingi.

Since day one sijawahi kuukubali usajili ya wa huyu mwehu (Najua ana uwezo Mkubwa sana ila sikubaliani na nidhamu yake ya Kisela uwanjani).

Hapa tumepoteza pesa bure tu! Tulikuwa na uwezo wa kumnunua Halaand na Change ya Mshahara wake wa Miaka miwili inabakia lakini Klopp akaamua kwenda kuchukua huyu Mvuta Bange ambaye nahisi alikuwa Mkabaji kabla ya kuwa Mchezaji mpira.
 
Pesa ya halaand ilikuwa ndefu sana mkuu
 
Our Champions League squad has been announced for the group stages of the competition:

Goalkeepers: Alisson Becker, Adrian, Caoimhin Kelleher. Defenders: Joe Gomez, Virgil van Dijk, Ibrahima Konate, Kostas Tsimikas, Calvin Ramsay, Andy Robertson, Joel Matip, Nat Phillips, Trent Alexander-Arnold. Midfielders: Fabinho, Thiago Alcantara, James Milner, Jordan Henderson, Fabio Carvalho, Arthur, Stefan Bajcetic: Forwards: Roberto Firmino, Mohamed Salah, Diogo Jota, Luis Diaz, Darwin Nunez.

Selected 'B list' players: Harvey Davies, Curtis Jones, Harvey Elliott, Luke Chambers, Isaac Mabaya.
 

Mkuu nimekuelewa ila mwezi huu wachezaji wetu wengi watakuwawamerudi na sisi wachezaji wetu wote wakiwa fit hakuna timu yakutufunga hapo epl. Ngoja tuone ili tukose sababu kabisa tuwe tuna mlaumu klopp tu.

Mkuu Kila timu ina matatizo yake hapo ukiondoa city hao wengine hawana uzoefu wowote wakushinda mechi zote raundi ya pili kwa sasa.

Liverpool tunaweza kutofungwa mechi zote raundi ya pili kama man city ,yaani raundi ya pili tukamaliza bila kufungwa.

hao wengine hawawezi ndio maana city anatangazaga ubingwa mapema akiwa na hao lakini kwetu hawezi mpaka game ya mwisho.
Watapiga kelele sasa hivi lakini raundi ya pili hawana jeuri hata Chelsea msimu uliopita kelele zilikuwa nyinyi hivi hivi lakini raundi ya pili chali tukamaliza juu yao.


Ulishawahi kusema hapa sasa hivi ili huwe bingwa lazima points kazaa ufikishe.

Sasa hao Man U na Chelsea me nawahesabia mechi bado mechi 2 raundi ya kwanza hii wakipoteza wanapoteza sifa ya kuwa bingwa .

Bingwa hafungwagi mechi 4 kwenye ligi ya hapo epl.


Unakumbuka vizuri tatizo letu la January ila tumeshalekebisha sasa hivi.


Mkuu nimeona ni mapema sana tusubirie game 5 zijazo ndio zitaonesha kwamba safari hii ni wasindikizaji ? Maana tuna game na hao waliopo kwenye top 5 hao.
 

[emoji23][emoji23][emoji23].
 

Hivi unajua katika hizo injuries zetu Mchezaji hasa ni mmoja tu THIAGO?
Hivyo tusiseme tunasubiri Wachezaji wapone bali tuseme tu tunamsubiri THIAGO apone.

Na muda wa THIAGO kupona kwake na kuumia tena ni sawa na ule muda baina ya Bao ya kwanza na ya pili kwenye kunyandua.

Hivyo msimu huu tuuhesabu tu kuwa ni wa maumivu.

Man City anabeba Kombe February trust me.
 
Safe to say the only team that will be contending EPL title this season will be Arsenal,Man City and Spurs only. While Chelsea, Liverpool and Man U who are currently building their team will be contending 4th place.
SIKU HAZIPO MBALI MTAKUJA KUKAA KIMYA,NA KUSHANGAA NA KUJIULIZA ,HII NDIYO LIVERPOOL NILIYOITOA KWENYE RELI?
 
Hope against hope.
 
ni kweli maana , Keita, Ox, Jones ni hamna kitu kwa hyo kuumia kwa Thiago tuu eti ndio anguko letu.

pia kupoteana kwa kina fabinho, vvd, trent, kina Diaz badala ya kufunga wanagongesha miamba


Nunez anapiga mtu kichwa tukiwa nyuma goli moja

klopp na stail yake ya High line, na wapuuzi kina Vvd kuwa wavivu kukaba na kutegea offside, huu mfumo ndo aliviziwa Arteta kuliwa chuma 3 Old toilet pale
 
Najua Washabiki wa Liverpool ni Kama Kenge hawaamini mpaka waone Damu zinawataka masikioni

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…