Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Klopp sasa it is too much, too much.

Uwekezaji waliowekeza wapinzani na bado twasubiri kupambana nao, ni maajabu tu.

Wachezaji wake anaowapamba kila siku wapo wodini bado Milner. Henderson, Ox, Keita, Jones.
Huyu mzee sijui nani amemroga
 
Mi nachojiuliza hivi Klopp huwa hashauriwi? Hana watu wa karibu kumshauri maana simuelewi, unakumbatia wazee hawa madogo watajifunza lini na experience watapata lini?
Sasa kama tu anamshangaa manyumbu utd kwa kumuanzisha Magwaya Benchi...eti utamuwekaje Kapteni benchi!
Mtu kama Milner alikuwa wa kumgawa bure tu.

Msimu ukifika mwisho mimi binafsi nitambebesha lawama Klopp Kwa asilimia 100.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Iko wapi gengen pressing ya klopp????heavy metal football if you like..set piece threat??offside trick inatua siku hiz,wapinzani washajua jinsi ya kuishi nayo

Klopp abadilike viungo wamechoka hawawezi kuzima counter attacks tena.

YNWA
 
Na zile bao tisa za juzi ndio zinazomtia jeuri.
Kusajili hataki ,amekumbatia mibabu halafu kazi kufokafoka nje ya uwanja.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Na zile bao tisa za juzi ndio zinazomtia jeuri.
Kusajili hataki ,amekumbatia mibabu halafu kazi kufokafoka nje ya uwanja.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Mane kaondoka Liverpool na mpira wake.
Ule mpira wa liver misimu miwili iliyoisha sasa hivi ndio unapigwa Buyern Munich.
Maskini Salah bila ya Mane sidhani hata kama atafikisha goli 10 msimu mzima.
 
Mane kaondoka Liverpool na mpira wake.
Ule mpira wa liver misimu miwili iliyoisha sasa hivi ndio unapigwa Buyern Munich.
Maskini Salah bila ya Mane sidhani hata kama atafikisha goli 10 msimu mzima.
Hata kama ameondoka ,mpira lazima uendelee..kwani hakuwa akicheza pekeyake.
Juhudi za wote kwa pamoja ndizo zilizoisukuma timu kufika ilipo.
Tunaye Diaz... Salah bila Mane anahangaika,ila pia Mane bila Salah naye atammiss tu.

YNWA
 
Medical scheduled in the afternoon for Arthur Melo as Liverpool and Juventus are closing on final details of loan deal for Brazilian midfielder. NO buy option as things stand #LFC

Arthur has accepted right after the first call received by LFC yesterday night. #DeadlineDay
 
Mane kaondoka Liverpool na mpira wake.
Ule mpira wa liver misimu miwili iliyoisha sasa hivi ndio unapigwa Buyern Munich.
Maskini Salah bila ya Mane sidhani hata kama atafikisha goli 10 msimu mzima.
Hivi salah unamjua vizuri kwel? Ashindwe kufikisha bao 10
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom