Mondela
JF-Expert Member
- Aug 20, 2021
- 2,567
- 3,793
Kikubwa ni kuwa atakuwa anawasaidia wapinzani mashambulizi yaelekee golini kwetu [emoji23][emoji23][emoji23]Melo mzee wa back pass..klopp katuchoka
Kikubwa ni kuwa atakuwa anawasaidia wapinzani mashambulizi yaelekee golini kwetu [emoji23][emoji23][emoji23]Melo mzee wa back pass..klopp katuchoka
Kabisa kiongoziAnakuja kula pension huyo
Mtulie jamaa yangu tunakwenda na Melo sasa...
Huyu hapa kafika ana jambo lake baada ya kua flop Barcelona na Juventus anapata tena bahati adimu sana kutua Anfield wakati sahihi tukiwa tumeelemewa na majeruhi pale kati..
Huu usajili kwangu naona ni safii kabisa kwa wakati huu na pia ukizingatia ni mkopo bila ulazima wa kumnunua....
Anacheza box to box na holding midfielder hivyo ni 2 in 1 mzee baba.
YNWA
Ila ni loan kama alivyokuwa kabak....Melo mzee wa back pass..klopp katuchoka
Klopp akili imeanza kuchoka.tatizo la kiungo ndo analiona deadline day kweli?Kikubwa tunachomshukuru amefanya usajili
Klopp hua mbishi sana. Kwanza EPL, UCL, Carabao zinakwenda marathon sababu ya Kombe la Dunia aafu anakomaa na hawa wagonjwa wake yaaani mbona lipo wazi msimu huu majeruhi yatakua mengi sanaaa.Henderson jana itakuwa aliumia na yeye ndio maana klopp kaamua kusajiri bila kuumia asingesajiri.
Wameongezewa mtu hapo wenyeji wataanza kujituma hapo.
Atatusaidi huyo maana klopp anajua kufundisha mpira
Hapo ma Yankees wanafurahiiii sanaaa yaaani ndio mambo wanapenda kuona.
Hakuna neno ndugu...Huyu pia ni injury prune
.. hakuna tulichofanya
Et watakuwa wanapishana [emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna neno ndugu...
Something is better than nothing, as long as watakua wanapishana kule kwa dokta freshhhhh japo i forbid...
Mtihani ilikua Fabinho ndio only HM/DM hivyo kumpata Melo sasa ni jambo njema.
YNWA
😂 😂 😂 😂 😂 Sasa tuseme aje..akipona huyu akiumia huyu basi ili mradi mambo yasonge.Et watakuwa wanapishana [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sasa tuseme aje..akipona huyu akiumia huyu basi ili mradi mambo yasonge.
YNWA