Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Class act

Alstadhi katulia tuliiiii

Screenshot_20220829_235922_com.android.chrome_edit_6994388791120.jpg

YNWA
 
ushindi wa goli 9 nilijua tuu klopp atazika rasmi wazo la kusajili middo, ngoja akaziwe sare na Newcastle atakavokuja na visingizio kibao

Tunamkumbusha tuu, Man u, Arsenal hazitakua hivo zilivo milele, ikitokea Arsenal ,spurs au man u wakabeba EPL kabla ya klop kubeba yapili basi itakua aibu kwake ,kwa FSG na mashabiki kwa ujumla

1 EPL for 7yrs haikubaliki
 
OllaChuga Oc pole sana naona msimu huu ndio mambo kwako yanazidi kua sio kabisaa maana ulijitapa kuleta ushindani mkali sana EPL lakini dalili sio powa kabisa kwako.

Saint Anne mpe pole Chugga man ana hali mbaya.

YNWA
Hivi hapa nipo napita uzi wa Chelsea[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanamwita Tuchel mviziaji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nipo nacheka kwa raha zangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Akina OllaChuga Oc na 42774277

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Yupo kama ndio katoka Bambali leo yaaani hana makuu wala nini.

YNWA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa hahangaishwi kabisa na dunia[emoji1787]
Ila mimi nampendaga sana kwa misimamo yake.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Hivi hapa nipo napita uzi wa Chelsea[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanamwita Tuchel mviziaji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nipo nacheka kwa raha zangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Akina OllaChuga Oc na 42774277

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 Mviziaji 🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓Jamani si walisema walikua hawashindi sababu ya Lukaku na Werner sasa mbona wanaanza kumsema Tuchel wakati yeye hachezi....

Wanipe Mount na Gallagher waone kama March hatujatangaza ubingwa..

Ati wanasema Tuchel ni "kubwa jinger"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom