Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Klopp na Kocha Mzuri kimbinu za uwanjani but shida yake ni moja tu kutokuwa na akili ya kufikiria kile anachotaka. Hivyo kwenye Miaka yake 7 akiwa ni Kocha wa Liverpool basi anapaswa abebe lawama ya kubeba EPL moja na UCL moja tu.
Klopp alipaswa awe na EPL Tatu na UCL Tatu.
 
Muache Mwarabu ale good time... Tuna MF dhaifu sana kua na consistency ya mashambulizi na pia kupoza mashambulizi kwetu mpaka pale Klopp ataacha kusaka sifa na pride tutakua salama.

YNWA

Tunaanza kuwa Mashabiki wa hovyo na wakati matatizo yetu mkuu yanajulikana.

Pale kati wao kila wakati wao ndio wanaongoza kukaa nje.
 
Everyone in this country supports liverpool ~ Pep Guardiola.
IMG_20220901_002405.jpg
IMG_20220901_002450.jpg
 
Hili li tim limeanza kua lamchongo sasa, japo tumelichagua wenyewe hamna namna.
Timu nilianza kuliona la mchongo baada ya kuuza Mane na kwenda kununua magazeti..tumeliweka benchi gazeti tunalisoma.

Likawa la mchongo zaidi kwa kuanzisha mibabu iliyogandia timu miaka nenda miaka rudi.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Tunaanza kuwa Mashabiki wa hovyo na wakati matatizo yetu mkuu yanajulikana.

Pale kati wao kila wakati wao ndio wanaongoza kukaa nje.
Mtihani sana ndugu...

Jana Howe aliwabana sana TAA na Robbo wasipande kupeleka mashambulizi na pia yalivyofika hayakua na madhara kwa sababu ya kukosa target man kama Nunez na Jota.. Nadhani itakua jambo njema Klopp sasa kua flexible kwenye mfumo kutokana na wachezaji alionao uwanjani sababu sio kila strika ni mzuri kwa kufunga magoli ya kichwa..

YNWA
 
Mtu ana assist 2 Leo huko middle za kingereza hazina assist kabisa lakini lawama anapewa yeye..dah
Msaidizi wa Klopp bwana Pep Lijnders alisema usajili wa dirisha hili ulikua muhimu pia sababu wanahitaji kuhama 4 3 3 na kwenda na mifumo mengine sababu ni dhahiri kabisa 4 3 3 tumeshajuliwa na timu wameshajipanga vyema sana namna ya kuzima hatari ambapo ni Robbo, Trent, Salah, Diaz hao wakidhibitiwa hua tunakua toothless kabisa hivyo kukosa wabunifu kati ama kuumia kwa Thiago ambae ni kazi yake kucheza pasi za kuwachana wapinzani ni pigo kwa Klopp....

Nwa ngoja tuone ndio kwanza mechi ya 5....wasiwasi wangu ni Salah kuwaza kiatu cha ufungaji bora kwa kutazama magoli ya Haaland hii kwa kweli asidhutu kabisa...

YNWA
 
Lazima tuanze kwanza kufungwa ndio tufunge,kama tulivyomaliza msimu
Bwana hili jambo hapana na almost magoli yote yanatokana na wachezaji kuto react kwa wakati sahihi kwa kuangalia movement ya timu pinzani ndani ya 18 yetu...

Wachezaji ni kama wamekua wazitoooo jana again Henderson baada ya kukosa ule mpira anatembea badala ya kukimbia mpaka anastuka goli lishapigwa..

YNWA
 
Wakati sisi tunanunua haaland livakuku mnanunua mpiga punieto nunyez si maajabu haya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom