Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Klopp sasa it is too much, too much.

Uwekezaji waliowekeza wapinzani na bado twasubiri kupambana nao, ni maajabu tu.

Wachezaji wake anaowapamba kila siku wapo wodini bado Milner. Henderson, Ox, Keita, Jones.
 
Ladder49 49.png
 
Msaidizi wa Klopp bwana Pep Lijnders alisema usajili wa dirisha hili ulikua muhimu pia sababu wanahitaji kuhama 4 3 3 na kwenda na mifumo mengine sababu ni dhahiri kabisa 4 3 3 tumeshajuliwa na timu wameshajipanga vyema sana namna ya kuzima hatari ambapo ni Robbo, Trent, Salah, Diaz hao wakidhibitiwa hua tunakua toothless kabisa hivyo kukosa wabunifu kati ama kuumia kwa Thiago ambae ni kazi yake kucheza pasi za kuwachana wapinzani ni pigo kwa Klopp....

Nwa ngoja tuone ndio kwanza mechi ya 5....wasiwasi wangu ni Salah kuwaza kiatu cha ufungaji bora kwa kutazama magoli ya Haaland hii kwa kweli asidhutu kabisa...

YNWA
It's easy to play with us nowadays zuia TAA & ROBBO , Salah & Diaz. Its over.
 
Timu nilianza kuliona la mchongo baada ya kuuza Mane na kwenda kununua magazeti..tumeliweka benchi gazeti tunalisoma.

Likawa la mchongo zaidi kwa kuanzisha mibabu iliyogandia timu miaka nenda miaka rudi.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Unamtoa captain Henderson unamuingiza super sub captain Milner.
Kwa mpira mnaocheza sasa hivi nyie kuku mna hali mbaya, labda kila mechi muwe mnapangwa na Bournemouth.
 
Unamtoa captain Henderson unamuingiza super sub captain Milner.
Kwa mpira mnaocheza sasa hivi nyie kuku mna hali mbaya, labda kila mechi muwe mnapangwa na Bournemouth.
Mechi tuliyocheza na nyie nyumbu,,nlituambukiza unyumbu tukapanga mibabu yote..
Bahati yenu ..
Vinginevyo msingetoboa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom