Ladder 49
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 8,069
- 20,330
Hawa Bournemouth Wana mkosi ...mechi tatu za mwanzo washafungwa goli 16?
Ratiba yake ilikuwa ngumu mkuu,mechi ya pili alianza na city,Ikafatia arsenal na Liverpool sasa hapo huwezi kulaumU Mkuu
Hawa Bournemouth Wana mkosi ...mechi tatu za mwanzo washafungwa goli 16?
Tumtoe Firmino tena!View attachment 2336585
Bingwa wa Poor reasoning kwenye ubora wakoWakati Halaand akiwaza kutangaza Ufalme EPL mwenzake Nunez anawaza Kupiga Vichwa na kuchora Tattoo.
Ngao ya jamii mlipiga kambaki ya kufa mtuKing of come back england ni man city tu ....Kama unabisha nyenyua makalio juu
Nunez ni hatari Ngwaba the boy is terrific Kuna attrick 3-4 humo changamoto akipona jota na Boby akiwa fit atapunguziwa muda wa kucheza , kule city siku Kipara akijua kucheza na Alvarez na haland nyuma yao KDB tumekwisha ,miguuni Kwa Alvarez yamo magoli mengi.Wakati Halaand akiwaza kutangaza Ufalme EPL mwenzake Nunez anawaza Kupiga Vichwa na kuchora Tattoo.
Sahani tu lile...angalia mechi za kiume tunachowafanya....nyinyi Leo ni bahati tu mmepata kilaza mwenzenuNgao ya jamii mlipiga kambaki ya kufa mtu
Vipi kwa nyu kesto?Sahani tu lile...angalia mechi za kiume tunachowafanya....nyinyi Leo ni bahati tu mmepata kilaza mwenzenu
Kilaza alikufunga kwenye sahani, unajielewaSahani tu lile...angalia mechi za kiume tunachowafanya....nyinyi Leo ni bahati tu mmepata kilaza mwenzenu
Ndomana hatukutaka kubishana na kilaza kwenye Micky mouse cup..mechi zetu sisi ndo kama uonavyo mwenyewe....it's comeback city babyKilaza alikufunga kwenye sahani, unajielewa
Pumzi ya moto waliiona...from 3:1 to 3:3 nyie mngeweza?Vipi kwa nyu kesto?
This is Manchester city ,...ukiscore goal 2 usifikili umemaliza maana tunaweza kukunyukasito au kukucrystopalizeNgao ya jamii mlipiga kambaki ya kufa mtu
Nyie ndio mlianza kufunga kumbukaPumzi ya moto waliiona...from 3:1 to 3:3 nyie mngeweza?
Madrid aliwapigia kambaki ya kibabeNdomana hatukutaka kubishana na kilaza kwenye Micky mouse cup..mechi zetu sisi ndo kama uonavyo mwenyewe....it's comeback city baby
Huyu Parades ilikua last week ana mazungumzo na Juventus labda wameshindwa kuafikiana bei, mshahara, muda wa mkataba, dakika uwanjani nk...Naskia tumerusha ndoano psg..
Liverpool hua wanafanya back ground check kwa wachezaji wao wote wanaosajili hivyo hii kadi ya Nunez ni one time mistake, boy want to win, hafurahii sare wala nini.Nunez Leo ndo ilikuwa afunge goli hata nne Leo .atajutia sana

Eti mwehu!Midfield ya Liverpool haina msaada wowote kwa Timu, kuna hilo mwehu linaloitwa Skipper kazi kufoka tu uwanjani! Amshukuru sana Klopp kwa kumletea wachezaji aina ya Keita na OX ashindane nao ndiyomana mpaka leo yeye na Milner bado wanapata number Liverpool.








AiseeHalafu anatokea Mpuuzi mmoja anacheza Mechi 1 tu anajiona Star anapiga wenzake Vichwa na kula Umeme! Anyongwe aliyeshauri anunuliwe Nunez.
Yani Red Card yake hajui inavyoicost Timu.
Liverpool ni more than kipaji, bali nidhamu ya mchezo ni muhimu sana.
Hivyo uwezo wa Nunez bila nidhamu sio kitu tunachotaka Liverpool.








Akili anazo ila alijitoa ufahamu