Kuna mdau huwa anasema hizo ni sawa na packet 3 za condomLiverpool 9 - 0 Bnmth![]()
Shitye uyu anapigwa adi na CP ..wewe kweli kukuMwisho wa Msimu
1) City
2) Liverpool
Hao wengine waendelee kupigania nafasi mbili zilizobakia
Hahahaha Leo mumepona kideri fasta tu yaniii ..hongereni makuku😂😂😂😂Chelsea akina OllaChuga Oc mna tubao tuwili tu
Sisi hadi sasa yapo 9
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Kwani huyu Parades hajatua Juventus bado?Tumtoe Firmino tena!View attachment 2336585
Milner ni kocha mchezaji anamfokea mpaka vvd .Milner alikuwa na ulazima wa kucheza Leo kweli?si Bora angeacha watoto wamalize mechi?
Huyo ndio Klopp anakupa raha leo next time utanuna ukisoma kikosi wamo Milner, Henderson, Elliott 😂😂Wale waliokuwa wananitisha mko wapi??
Soma hiyoooo??
This is Liverpool
In Klopp we believe
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Nguvu ya Milner na Henderson pale Liverpool inatisha ukisaka majibu yake hutayaona mbali wewe tazama dakika zao uwanjani yaaani....Milner alikuwa na ulazima wa kucheza Leo kweli?si Bora angeacha watoto wamalize mechi?
Dogo ana spidi ajabu yaaani huyu kwa Pep ni time bomb....Halland saiz anagoli 6 na assist 1![]()
Hatari sanaNguvu ya Milner na Henderson pale Liverpool inatisha ukisaka majibu yake hutayaona mbali wewe tazama dakika zao uwanjani yaaani....
YNWA
Nunez Leo ndo ilikuwa afunge goli hata nne Leo .atajutia sanaDogo ana spidi ajabu yaaani huyu kwa Pep ni time bomb....
Sasa Nunez akirudi atakua anawaza magoli ya Hallaad mwishowe atachemka.. I forbid kwa kweli.
YNWA
Naskia tumerusha ndoano psg..Huyo ndio Klopp anakupa raha leo next time utanuna ukisoma kikosi wamo Milner, Henderson, Elliott
YNWA
Huyu mwamba si wamwache amalizie maisha ya soka hapo Anfield!Tumtoe Firmino tena!![]()
Wewe ni kilaza tu ...kwanza mshukuru sterlingShitye uyu anapigwa adi na CP ..wewe kweli kuku



