Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,534
- 81,267
Kwa hizi akili naamini akija hata kwa hizi timu zetu za kariakoo ataziweza pia na atadumu.Ila huyu baba akili zake anazijua mwenyewe
Nimecheka nimetaka kuanguka.
Hii sababu ya juzi imeniacha hoiKwa hizi akili naamini akija hata kwa hizi timu zetu za kariakoo ataziweza pia na atadumu.







na kesho tupigwe tu hamna namna.Klopp hapangiwi too much pride aisee....Kwa sikuizi Liverpool ikicheza sianvalii mechi mm sitaki stress, Klopp anakumbatia wazee wakat Pep anawaamini vijana na kuwaingiza uwanjani, mfano Phil Foden pep alimwamini na kumuingiza kila mechi lakini saivi performance yake ipo high level. Klopp sijui anaogopa nini kuwaingiza hawa vijana tulio nao zaidi ya hapo utamuona Milner na Hendo kwenye First elevenna kesho tupigwe tu hamna namna.
IMAGINE BEING ASSKlopp hapangiwi too much pride aisee....
7 years 1 EPL ni under performance kubwa mno kwake kama kweli ni pound for pound manager trophy moja inatoa majibu yote na twice amekosa kwa pointi 1 kwa makosa yale yale nwa tumo hatuhami hatuna namna yeye Klopp na ma Yankees wanaona kushiriki UCL inatosha hivyo tuwe watulivu, mkwaja wanaopata kwa kukumbatia wazee na sio kuwekeza kikosini unawatosha...
YNWA





Huyu Hendo mtaongea hadi mtapasuka koo,hamuachiKwa sikuizi Liverpool ikicheza sianvalii mechi mm sitaki stress, Klopp anakumbatia wazee wakat Pep anawaamini vijana na kuwaingiza uwanjani, mfano Phil Foden pep alimwamini na kumuingiza kila mechi lakini saivi performance yake ipo high level. Klopp sijui anaogopa nini kuwaingiza hawa vijana tulio nao zaidi ya hapo utamuona Milner na Hendo kwenye First elevenna kesho tupigwe tu hamna namna.





Yaani hadi sasa hajui!


#LFCAfadhali akili imemrudia..Liverpool will now try to sign a new midfielder, Jurgen Klopp announces: “Yes, I am the one who said we don’t need a midfielder - and you were all right and I was wrong. Now we are going for a midfielder”.#LFC
“We will do something but it has to be the right one”.
Dah mpaka klopp katubu hivi hali ni mbaya sana hapo melwood na hili deal litakua limekaribia kutiki. Hua hasemi hivi kama mambo bado yako mbali kutimia. Itakua ghafla kama deal la Fabinho au Jota. Liverpool we are never done. Nilale sasa kwa amani.
Ngoja tuoneYaani hadi sasa hajui!
Akiyanani Klopp anatupeleka korongoni
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app




Klopp anashindwa kuuutumia ushindani wake na Pep vizuri hakupaswa kuwa na EPL 1 mpaka sasa. Na hii inanikumbusha enzi za utawala wa Sir Alex Ferguson na Wenger ushindani uliokuwepo na baadae kuibuka kwa Molinho pale Chelsea ilivyopelekea Arsenal kukosa tena EPL.Klopp hapangiwi too much pride aisee....
7 years 1 EPL ni under performance kubwa mno kwake kama kweli ni pound for pound manager trophy moja inatoa majibu yote na twice amekosa kwa pointi 1 kwa makosa yale yale nwa tumo hatuhami hatuna namna yeye Klopp na ma Yankees wanaona kushiriki UCL inatosha hivyo tuwe watulivu, mkwaja wanaopata kwa kukumbatia wazee na sio kuwekeza kikosini unawatosha...
YNWA
Ndio tulipo sasa ndugu...Klopp anashindwa kuuutumia ushindani wake na Pep vizuri hakupaswa kuwa na EPL 1 mpaka sasa. Na hii inanikumbusha enzi za utawala wa Sir Alex Ferguson na Wenger ushindani uliokuwepo na baadae kuibuka kwa Molinho pale Chelsea ilivyopelekea Arsenal kukosa tena EPL.