Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Cc Allison😂😂😂Na leo tukipigwa au tukitoa draw itakuwa ni bora zaidi ili hizi siku 2 awe ameshaingia sokoni.
YNWA
Cc Allison😂😂😂Na leo tukipigwa au tukitoa draw itakuwa ni bora zaidi ili hizi siku 2 awe ameshaingia sokoni.
Mmeshakula 4 huko! Ndiyo mmeanza ligi eeeh?Bournemouth ndyo tunaanza Leo ligi tunapiga pale pale kwenye mshono![]()
hatimae leo goli limepatikana upande wa kiungo, goli 1 ndani ya mechi 4, assist 0













Kapigwe hata 10 sisi hatujazi! AFC Bounermouth kajichanganya leo!Chelsea akina OllaChuga Oc mna tubao tuwili tu
Sisi hadi sasa yapo 9
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Kweli mkuu utasema ayo baada ya game ya Bournemouth kwl ngj tuone uko mbelen tutajua.Kuna yoyote aliyeondosha kilichokuwa kinaitwa Lana ya Mane?
NO MANE NO PROBLEM





