King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,417
- 7,370
Bingwa wa Poor reasoning kwenye ubora wako
Hizi poor reasoning ndiyo alizozipenda Mamayako mpaka leohii nikawa Babayako.
Bingwa wa Poor reasoning kwenye ubora wako
Nunez ni hatari Ngwaba the boy is terrific Kuna attrick 3-4 humo changamoto akipona jota na Boby akiwa fit atapunguziwa muda wa kucheza , kule city siku Kipara akijua kucheza na Alvarez na haland nyuma yao KDB tumekwisha ,miguuni Kwa Alvarez yamo magoli mengi.
Sahani tu lile...angalia mechi za kiume tunachowafanya....nyinyi Leo ni bahati tu mmepata kilaza mwenzenu
Mkuu unaleta habari za msimu uliopita tena?Mechi za Kiume kama zipi? Hebu lete matokeo ya EPL msimu uliopita.
Ni kama hizo mlizodroo nyie...Mechi za Kiume kama zipi? Hebu lete matokeo ya EPL msimu uliopita.
Kilaza katika ubora wakoPumzi ya moto waliiona...from 3:1 to 3:3 nyie mngeweza?

Hongereni
Mmekuwa timu ya 3 kufunga 9-0 ktk historia ya EPL
Manure x2
Leicester city x1
Livakuku x1
Kaka mbona leo mapema sanaChangamoto za msimu huu
Mechi 3 mfululizo, kadi 3 nyekundu akiwemo kocha
Tukemee hili pepo lisijirudie, litatuweka pabaya sana







Wewe jamaa sijui hata ni timu ganiTimu bora Dunian timu yenye uefa nyingi England tutabeba kombe lolote lililo mbele yetu yo ll never walk alone![]()
timu zote unaoponda ,timu zote unasifiaMbona wewe zile 2 za man u zilikushinda? ...sie zilirudi tukaondoka na point 1 ambayo ndio ilikukosesha ubingwa msimu ulopitaKilaza katika ubora wako
Unafungwa goli tatu unajisifu kuzirudisha![]()
Mkuu unaleta habari za msimu uliopita tena?
Taarifa zinadai kuwa Chelsea wako tayari kumlipa Ross Barkley anayelipwa £200,000/wiki ili wafute mkataba ili awe free agent. Inaaminika kuwa Ross Barkley hatakubali labda kama akilipwa mshahara wote
Tulipaswa tuweke Rekodi mpya ya goli 10...kocha kazingua sana kumtoa firmino mapema na kumuingiza Milner..
Kwaiyo unajipima msimu huu kwa msimu uliopita? HongeraSasa unataka tujipime msimu huu kwani tushakutana EPL? Au unataka tujipime kupitia mawazo yako?
Issue sizungumzii uwezo wake! Kinachozungumzia ni Nidhamu yake mbovu, toka mechi inaanza yeye anapiga Viwiko na Vichwa sasa kama ana uwezo akishakula Kadi Nyekundu uwezo wake utatusaidia nini?





Wewe unaweza kubahatisha magoli 9?Sahani tu lile...angalia mechi za kiume tunachowafanya....nyinyi Leo ni bahati tu mmepata kilaza mwenzenu
Tulipaswa tuweke Rekodi mpya ya goli 10...kocha kazingua sana kumtoa firmino mapema na kumuingiza Milner..