Herzog
JF-Expert Member
- Jul 26, 2022
- 4,129
- 4,859
Ndio.. .ni swala LA muda tu.... kama hamkubahatisha na mechi ijayo mshinde Tisa.. Utaniita mbwa nimekaa pale👉👉
Ndio.. .ni swala LA muda tu.... kama hamkubahatisha na mechi ijayo mshinde Tisa.. Utaniita mbwa nimekaa pale👉👉
Huyu Milner huyu🚮Tulipaswa tuweke Rekodi mpya ya goli 10...kocha kazingua sana kumtoa firmino mapema na kumuingiza Milner..
Hayo 9 ya kwako uliyobahatisha yakwapi?Ndio.. .ni swala LA muda tu.... kama hamkubahatisha na mechi ijayo mshinde Tisa.. Utaniita mbwa nimekaa pale👉👉
Kwani ligi imeisha?...Hayo 9 ya kwako uliyobahatisha yakwapi?
Unadhani Kuna kubahatisha magoli 9?Kwani ligi imeisha?...
Hii taarifa ilikosewa kupostiwa, ni la jukwaa la Chelsea, sorryTaarifa zinadai kuwa Chelsea wako tayari kumlipa Ross Barkley anayelipwa £200,000/wiki ili wafute mkataba ili awe free agent. Inaaminika kuwa Ross Barkley hatakubali labda kama akilipwa mshahara wote
Wrong post sorryUsimpigie Debe Liverpool hatumtaki 😂😂
Mambo ya kuja kutuganda kama Milner hatutaki.
Nimepeleka Wachezaji wa Mataifa mengine ni Rahisi kuwaondoa kwenye Timu lakini ukiwa na Mchezaji wa Kiengereza basi kumuondosha kwenye Timu ni kazi kwelikweli.
Kwani nini maana ya bahati?...ile ni bahati ndio maana inatokea Mara moja moja sana ndio maana nkasema mkifunnga tena goli Tisa niite mbwaUnadhani Kuna kubahatisha magoli 9?
Itaisha na haupati magoli tisa mechi moja
☹️😀😀😀😁We shabiki wa Manshity si uende jukwaa lenu au umechoka kuchat na pain killer
Wana damu ya malkia and that means something 🤓🤓🤓we are so fixed man....Deadwood ndo zinatu cost..
Milner.., Henderson, Chamberlain...hizo ndo weak point
Wana damu ya malkia and that means something 🤓🤓🤓we are so fixed man....
YNWA
After seeing this, i know you know, forget about new midfielder.View attachment 2338756
Jumatano hii tupo na Newcastle na Eddie Howe na vijana wake wanataka nafasi za Uefa hivyo ni mechi ngumu kwetu.After seeing this, i know you know, forget about new midfielder.View attachment 2338756
Jumatano hii tupo na Newcastle na Eddie Howe na vijana wake wanataka nafasi za Uefa hivyo ni mechi ngumu kwetu.
Bora Jones apone acheze dakika za Milner angalau japo nae akipoteana hua janga lakini sio kama Babu Millie
YNWA
Quantity vs Quality....Milner ✓
Hendo ✓
Fabinho ✓
Jones ✓
Elliot ✓
Tuna Mido 5 hapo ambao 3 tu ndiyo watacheza na Wawili kusubiri Benchi hivyo Klopp atavimba Kichwa kuwa ana Depth tosha la Mido na hatosajili 😩😩
Hii scouting imetuletea mazuri sana kwa Salah, Mane, Allison, VVD, Robbo nk lakini scouting hao hao wametuletea Keita, Thiago, Ox ambao mpaka sasa purukrushani za EPL wamechemka kabisa kutupa continuity, hua nashindwa kuelewa kama hawa scouting department wanapata upofu ishu za MF maana backline na front wanajitahidi sana kutupa wachezaji wazuri lakini pale kati duh pamepwaya mnooooo.Tungekuwa na reliable middle hapo ... watatu reliable pengine tungetangaza ubingwa mapema Sana..mfano tungekuwa na Tchoumeni..Beligham.,hata na yeyote mwingine
Mpaka sasa kashacheza zaidi ya dakika 100+ meaning Klopp anamuona kama kiungo muhimu wa kumpa ushindi uwanjani... Tazama alivyomkazia VVD pale Trafford ndio utaelewa huyu sio wa kuodoka soon, msimu ujao yumo sanaaa.Next season utasikia tu Milner yupo kwenye mazungumzo ya kupewa Mkataba mpya wa mwaka mmoja