Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,254
Huyu mtoto TAA kukaba bado haweziYule scout aliemtupia jicho Allison popote alipo abarikiwa sana maana huyu bwana ni sweeper keeper pale mabeki wameshapitwa basi jamaa hua anavimba balaa na mara nyingi anaokoa... Hua nikikumbuka ile sevu yake vs Napoli Champions League mpaka tukachukua ule ubingwa yaaani he is just exceptional....
High line ni janga tazama Fulham walivyotuadhibu na sasa Eagles nao wamechukua pointi kwetu, ipo shinda especially kwa Trent kwenye kuzuia yaani dogo hana instinct kabisa kumstua hata kuangalia nyuma yake kama kuna mchezaji hua anaangalia tu mpira unapotoka.
Tuwe na subira mpaka lini mhmhmh itajulikana tu.
YNWA



