MR BINGO
JF-Expert Member
- Feb 12, 2016
- 1,208
- 2,591
UPAMBANAJI????kaangalie goli la Jana utaona maana ya upambanajiMane kamzidi diaz vingi tu, upambanaji, jicho la pasi, umaliziaji, ukubwa(diaz ana utoto mwingi)
Kikubwa kutimiza majukumu ya mwalimu, diaz atajitambulisha kama diaz lakini si kuwa sawa na mane, na kuna uwezekano akafanya vizuri pia, ila ni tofauti mnoo na SADIO.
