Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tatizo la Liverpool sio performance sio kucontrol mechi La hasha.

Ni kuthaminisha nafasi kua magoli na kutengeneza nafasi. Hii inatokana na kukosa wabunifu kwenye MF ambao watarahisisha utengenezwaji wa nafasi na wao kuhusika kwenye ufungaji.
Klopp wetu anasema Robertson na Trent wanatosha kutengeza nafasi za kufunga....

Timu zimeshatujulia.. Simpo kabisa wanatusubiri tushambulie na kwa vile wanajua fika Trent na Robbo wakishambulia wanacheza kama ma winga basi tukiponywa mpira ni kaunta moja tu na tutapigika tazama goal la Zaha kiukweli ile mechi wangetulia dogo angepata hata hattrick...

Nilitegemea sana Klopp atakuja kivingine msimu huu kimfumo lakini naona bado tupo pale pale pa last season...

YNWA
 
Akubali kuingia sokoni tu, hana namna. Anajipa matumaini mfu.
 
high line, huu mfumo timu zikuamkia vizuri lazima ufungwe goli hata mbili, misimu mingi tunaokolewa na magic za Allison maana watu kukutana nae uso kwa uso ni kawaida
 
Jana nimeingia jukwaa lao kuangalia namna wanavyomtukana CR wao
Hivi pale Manchester United kuna balaa ujue... Sasa sijui watasema na Kipara wao aodoke walete madevu kama Klopp ama namna gani...

Idara ya usajili na scouting ina shinda kubwa pale.

YNWA
IMG-20220816-WA0021.jpg

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
high line, huu mfumo timu zikuamkia vizuri lazima ufungwe goli hata mbili, misimu mingi tunaokolewa na magic za Allison maana watu kukutana nae uso kwa uso ni kawaida
Yule scout aliemtupia jicho Allison popote alipo abarikiwa sana maana huyu bwana ni sweeper keeper pale mabeki wameshapitwa basi jamaa hua anavimba balaa na mara nyingi anaokoa... Hua nikikumbuka ile sevu yake vs Napoli Champions League mpaka tukachukua ule ubingwa yaaani he is just exceptional....

High line ni janga tazama Fulham walivyotuadhibu na sasa Eagles nao wamechukua pointi kwetu, ipo shinda especially kwa Trent kwenye kuzuia yaani dogo hana instinct kabisa kumstua hata kuangalia nyuma yake kama kuna mchezaji hua anaangalia tu mpira unapotoka.

Tuwe na subira mpaka lini mhmhmh itajulikana tu.

YNWA
 
Jana nimeingia jukwaa lao kuangalia namna wanavyomtukana CR waoView attachment 2326434

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Ronaldo hana mapenzi na timu yoyote haha yeye ni kazi kama walijua anawapenda basi imekula kwao... Pazuri mpaka sasa Mendes hajapata mteja ndio maana yupo Manchester United lakini naona Chelsea kwa kuwaza kuuza jezi na kibiashara zaidi wanaweza kumchukua CR7 dirisha hili.

Kila mmoja apambane na hali yake.

YNWA
 
Akubali kuingia sokoni tu, hana namna. Anajipa matumaini mfu.
Sifa moja ya Klopp ni kwamba hapangiwi yaaani piga kelele vipi yeye tuliiii mpaka alikose kombe ndio utamuona anakimbia huku hasara tayari..

Aliambiwa mapema sana miaka hio kwa Karius na Simon kama makipa wake hata shinda kombe hata moja lakini ubishi wake akasema wapo sana Liverpool haha kilichofuata ni kipigo kutoka kwa Real Madrid haha hakusubiri tena chap akatua Allison, hivyo huyu Klopp hua anaelewa kwa kukosa kombe haraka utamuona ana react sokoni...

Dirisha bado lipo wazi ngoja tuone.

YNWA
 
Ronaldo hana mapenzi na timu yoyote haha yeye ni kazi kama walijua anawapenda basi imekula kwao... Pazuri mpaka sasa Mendes hajapata mteja ndio maana yupo Manchester United lakini naona Chelsea kwa kuwaza kuuza jezi na kibiashara zaidi wanaweza kumchukua CR7 dirisha hili.

Kila mmoja apambane na hali yake.

YNWA
Dah🤣
Sisi tunapambana na hali zetu ila man u wamezidi🤣🤣🤣🔥
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom