Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nadhani Luis kiazi amekujibu vyema

Nilishasema na nitasema mane alichomzid Diaz ni experience tu
Acha kumfananisha Super Sadio Mane na vitu vya kijinga kijinga.
Huyo Luis kiazi wako hastahili hata kuvaa socks za Mane.
 
Tell Klopp "he can't fight with reality, reality always is the winner".

We have quantity over quality in MF.
Anajipa matumaini mfu "watarejea" Mkumbusieni anaowatarajia ni injury prone, inconsistence, aged.
It's a warning to him. He will not go nowhere with tha dead MFs.
Thank you Diaz for your individual brilliance.
 
Aisee nilikuwa nimembonji kimtindo ndio nakurupuka apa ivi niaje ..ngoja kwanza niwape pole halafu ncheke .. hahahahahah 😂😂😂😂

Sasa nyie kuku hii ligi mutatoboa kweli? Bado muna amini Salah na Diyaz watawafikisha golgota salama? Nunez mtu anayeruka ruka uwanjani Hana nidhamu adi kumezeshwa likadi lekundu ndio munamtegemea aje apige back to back Kama Firmino na Mane? Hahahaha tuseme tu ukweli kila Jambo Lina mwwnzo na mwisho wake. Huu Ni msimu wa mwisho wa Klopp kutamba. Huu msimu tutajua mamluki na mashabiki wa kweli wa hii timu takataka Ni akina Nani😂😂😂
Kama munamshindwa CP ..Spurs mutamuweza kweli? Game ijayo Niko na Manjestaa he mutatoboa kweli hahaha ..
Hii front ya liver ya Sasa sii tishio Tena Bali Ni kichekesho 🤣🤣🤣🤣
 
Hata Arsenal tulishinda game na Palace kwa ajili ya uchizi wa Zaha na timu yao kutokua clinical mbele ya goli.

Ila Palace hawana ubaya huo. Liva jana walikua na plan mbili tu kuspam krosi na long balls, ilikua kama juzi Spurs no plan B.
 
Tokea umalizike usajili sijawahi kuongelea chochote kuhusu usajili but leo kwa mara ya kwanza nasema kwamba Huyu Nunez ni mpuuzi kama mpuuzi mwengine tu.
Yani Timu imeshafungwa yeye anatufanyia Utovu wa nidhamu?? Ana tofauti gani sasa na Baloteli?
Liverpool si Timu ya Watovu wa nidhamu hivyo wasituletee Machezaji aina ya Nunez yaliyokosa malezi ya Familia.
 
Nadhani Luis kiazi amekujibu vyema

Nilishasema na nitasema mane alichomzid Diaz ni experience tu
Mane kamzidi diaz vingi tu, upambanaji, jicho la pasi, umaliziaji, ukubwa(diaz ana utoto mwingi)

Kikubwa kutimiza majukumu ya mwalimu, diaz atajitambulisha kama diaz lakini si kuwa sawa na mane, na kuna uwezekano akafanya vizuri pia, ila ni tofauti mnoo na SADIO.
 
Screenshot_2022-08-16-08-45-26.png
 
Kuondoka tu kwa Mane timu limepoteza mvuto kabisaaaa.
Mane alikua ni zaidi ya mchezaji hapo Liverpool.
Tuone huyo Luis Kiazi na Manunu watawafikisha wapi bila ya uwepo wa mwamba Sadio Mane.
Mimi mwenyewe nilitamani abaki..
Ni heri angeondoka hata Salah ila siyo Mane.
Mane alikuwa consistent..tofauti na wengine wote pale mbele.

Ila timu ilivyo na maajabu,imemtoa Mane imewaacha akina Milner..
Wajinga hawa wanatucost sasa.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Zaha leo amezingua sana.
Angemakinika vizuri angepiga hat trick.
Viera awafundishe vijana wake kutulia na mpira, wanapoteza mipira kindezi sana na mipasi yao yote ni chongo, wameshindwa hata kutumia advantage ya red card.
Tukutane jumatatu OldTrafford tuwafundishe Gengen Pressing na super coach Eric Twenty Hag.
Man u Mnalala mapema sana

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Tokea umalizike usajili sijawahi kuongelea chochote kuhusu usajili but leo kwa mara ya kwanza nasema kwamba Huyu Nunez ni mpuuzi kama mpuuzi mwengine tu.
Yani Timu imeshafungwa yeye anatufanyia Utovu wa nidhamu?? Ana tofauti gani sasa na Baloteli?
Liverpool si Timu ya Watovu wa nidhamu hivyo wasituletee Machezaji aina ya Nunez yaliyokosa malezi ya Familia.
Sasa Liverpool si tumeyataka wenyewe
Tunauza kijana aliyelelewa akaleleka tunaenda kuokota mtoto ameshindikana amejaa michoro mwili mzima.
Tunavuna tulichokipanda.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Zaha leo amezingua sana.
Angemakinika vizuri angepiga hat trick.
Viera awafundishe vijana wake kutulia na mpira, wanapoteza mipira kindezi sana na mipasi yao yote ni chongo, wameshindwa hata kutumia advantage ya red card.
Tukutane jumatatu OldTrafford tuwafundishe Gengen Pressing na super coach Eric Twenty Hag.
Adv ya red labda keeper, Middle au Beki, sio striker bro
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom