Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,254
Labda atupeleke kimiujiza ya mchongo😂 😂 😂 😂 😂 Aiseee Klopp hatanii fainali anapeleka timu Uefa big.
YNWA
Hivihivi hatutoboi
Labda atupeleke kimiujiza ya mchongo😂 😂 😂 😂 😂 Aiseee Klopp hatanii fainali anapeleka timu Uefa big.
YNWA
Na muda wote hua anaamini anatenda miujiza pale Liverpool yaaani mbona kazi tunayo.....Labda atupeleke kimiujiza ya mchongo
Hivihivi hatutoboi
EPL tutaishia kuisikia kwa City.Na muda wote hua anaamini anatenda miujiza pale Liverpool yaaani mbona kazi tunayo.....
Weak link ni MF... Its compromised.
YNWA
Yaani kwa kikosi cha kina Ox na Keita..hakuna pira litapigwa hapo.Sasa basi mambo ya kushangaza leo litapigwa pira jingi, hendo anakua pirlo on his prime, huyo keita anakua Iniesta na matokeo mazuri tu hapo tuweka farewell sms ya usajili.
Itakua hivi kwanza wanajua hawaaminiki kwa hio watapambana sana kuonyesha mashabiki na ma doubters kwamba wapo kikazi zaidi tuwe na amani....
Like serious uwe na amani kwa MF ya Hendo, Kieta, Ox muda wowote wanatua wodini..
Ishu ya pili ni Klopp asije onekana mzushi kuwatetea MF wake.
YNWA
Hahah hatuna namna ni kumuona dkt na kuanza dose ya kukabiliana na taabu za pressure...Itakua hivi kwanza wanajua hawaaminiki kwa hio watapambana sana kuonyesha mashabiki na ma doubters kwamba wapo kikazi zaidi tuwe na amani....
Like serious uwe na amani kwa MF ya Hendo, Kieta, Ox muda wowote wanatua wodini..
Ishu ya pili ni Klopp asije onekana mzushi kuwatetea MF wake.
YNWA
Mpira magoli mzeeHii game tunaimaliza mapemaa![]()
Kamati ya mazishi tumeshafika...Tumegongeka safi sanaklopp mpaka akili imkae sawa








Dah nimecheka leo aisee bila kutarajia.......Timu inacheza kama inapiga punyeto![]()