Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hahahaha mtasubiri sana Klopp hapangiwi kamwe....

Yupo fresh tu kubaki na wagonjwa wake na ana amani kama zote kwamba tunakwenda fainali UCL na makombe tunachukua.

Japo hua tunatoa sifa sana kwa Edwards lakini kwa hili la Gini na Mane kumwachie wasepe wakiwa ni Mr Fit Liverpool ni janga kubwa.

YNWA
Halafu aseme Uefa ijayo atabook hotel mapema kabisa.
Yaani iuwabookea akina Ox
Hii timu ina maajabu.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Kazi kazi na msimu huu wanaamsha all fronts...
Tumo Carabao
Tumo FA
Tumo UCL
Tumo Epl
Baadhi wamo World Cup.

Haya Klopp amesema anawaamini MFs na humu ndani tuseme tunasimama na Klopp...

If you can't beat them join them.

YNWA
Ila liverpool haya mapicha eanatuonyesha mashabiki zao akiyanani Mungu anawaona
 
Sasa basi mambo ya kushangaza leo litapigwa pira jingi, hendo anakua pirlo on his prime, huyo keita anakua Iniesta na matokeo mazuri tu hapo tuweka farewell sms ya usajili.
Itakua hivi kwanza wanajua hawaaminiki kwa hio watapambana sana kuonyesha mashabiki na ma doubters kwamba wapo kikazi zaidi tuwe na amani....

Like serious uwe na amani kwa MF ya Hendo, Kieta, Ox muda wowote wanatua wodini..

Ishu ya pili ni Klopp asije onekana mzushi kuwatetea MF wake.

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom