Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Bado nahitaji tupate two MF's (DM & CM),. Ligi ni ndefu mechi ni nyingi with ratation and 5 sub, no one will like us. Ila nitakubaliana kutokukubaliana na FSG & Klopp.

Imagine being us.
Yule Nunez (nunyez) mjiandae kisaikolojia.

Klopp alisema Salah ni kama hakuhitaji preseason. Kapiga cross na right leg ikazaa bao.

Andrian na zali lake la makombe, mnyonge mnyongeni haki mpeni Andrian amejitahidi sana.

Ni wazi pep atajiuliza sana kwa klopp kwa pira la leo.

Klopp and FSG do us a favour we need atleast o good DM & CM.
In Klopp we trust, in him we are safe.
YNWA
Klopp alishasema kashamaliza biashara dirisha hili labda itokee majeruhi au mchezaji ametaka kuuzwa otherwise tuwe watulivu kikosi ndio hiki ulichoona pale nadhani walikosekana Allison na Jota tu...

MF Liverpool ni kikwazo sijui huko mazoezini MF wanampa nini Klopp na hatukioni kwenye mechi kama ya leo.

YNWA
 
Screenshot_20220730_232334_com.android.chrome_edit_339025721296184.jpg

Ndio ametuma salamu.

YNWA
 
Ligi ianze sasa wengi walimbeza Sana Nunez na Liverpool kwa ujumla baada ya kuchapwa na nyumbu hawakujua ule ulikua ni mtego na Jana nyumbu wa mjini kanasa .

Msimu huu sioni wa kutuzuia ulaya tunaitaka Uefa. Mpinzani wetu city msimu huu atapitia wakati mgumu maana hawakuzoea kutumia CF tangu pep atue Etihad ndo maana hata aguero alioneka kama loser.. Hadi waje warudi kwenye mfumo wao itakua ni too late.

Anyway kupanga ni kuchagua...
YNWA
 
Yeah Captain Marvelous
Nimemsikia kama mara mbili hivi kwa habari ya kumaliza usajili labda majeruhi ama kuondoka. Yupo sahihi yeye ndio ajuaye mbinu na mifumo inahitaji nini. Kwa performance ya jana na ushindi ndio rasmi tumemaliza usajili.

Nimewaza kwa nini klopp bado anamtaka keita? Labda kwa mfumo wake wa 4-2-3-1 kuna kitu anaweza kumpa tofauti na 4-3-3.

Nina amini Elliot asipoumia huenda akatufunga mdomo kwa habari ya kutaka kusajili MF yeye na Carvalho. Naona Klopp akimtaka Morton season hii sijui atamtumia vipi tutaona.

Kwa performance ya jana inawasha green light ya kuanza season mpya kwa nguvu.

In Klopp We Trust, In Him We Are Safe.
 
Wewe ni mweupe kabisa kwenye league zero brain ...

Mwaka juzi tulianzia na kipigo hatari ,pigwa Tano na lecister city ,spurs ya mo ikatunyoosha ,Tena sio hizo 3 nyepesi ,Tena league ilikuwa imeshaanza ,UK nzima wakaandika "very difficult man city to win the title" mpaka Christmas Liverpool alikuwa top kwa uzoefu wa league mtu akiwa top of the table chrismass basi huyo ni bibgwa na city hatukuwahi kukaa pale juu ..unajua Nini kilitokea ? ...

Mwaka jana community shield tulikula kichapo Cha mbwa Koko kwa lecister city ,league ikianza spurs akatunyoosha Kama kawaida son ,muda huo Chelsea wanasambaza kipigo ,man UTD , Liverpool....mpaka kinaambangile wakampa ubingwa Chelsea kwa kuwa alikuwa hatari ,solid defence,na alikuwa hafungiki ,ni baada ya kudraw na Liverpool anfied wakati walikuwa pungufu ,badae unajua Nini kilitokea ?....

Ndio maana nikasema wewe ni mweupe kichwani kuhusu league,this is marathon....!

City ni habari nyingine likija swala la marathon ,ingekuaa epl ni kucheza game moja tu hapo sawa ,ila game 38 ? ...chukua kiti kaa chini na kahawa subili uone maajabu sio kwa city tu hata man UTD ,Chelsea ,spurs ...
 
Yeah Captain Marvelous
Nimemsikia kama mara mbili hivi kwa habari ya kumaliza usajili labda majeruhi ama kuondoka. Yupo sahihi yeye ndio ajuaye mbinu na mifumo inahitaji nini. Kwa performance ya jana na ushindi ndio rasmi tumemaliza usajili.

Nimewaza kwa nini klopp bado anamtaka keita? Labda kwa mfumo wake wa 4-2-3-1 kuna kitu anaweza kumpa tofauti na 4-3-3.

Nina amini Elliot asipoumia huenda akatufunga mdomo kwa habari ya kutaka kusajili MF yeye na Carvalho. Naona Klopp akimtaka Morton season hii sijui atamtumia vipi tutaona.

Kwa performance ya jana inawasha green light ya kuanza season mpya kwa nguvu.

In Klopp We Trust, In Him We Are Safe.
Ipo tatizo ndugu kwa huyu Elliott nadhani expectation ni kubwa sana kwake kiasi dogo sasa anapagawa. Kama jana uliangalia gemu uliona zaidi ya mara 3 mipira ilipotelea kwake kwa yeye kujaribu impossibles.. Naona design kama Jones fulani hivi.

Dogo kipaji kipo ila he has to slow down...

Usajili naona hii ni foregone conclusion tuwe na subira...

Kwa mbali naona Tottenham msimu huu ataleta sana changamoto sana kwenye Ligi maana Conte sio wa kuridhika na Big 4. Kuna dogo mmoja wanamsaka pale Roma anaitwa Zaniolo ni dogo mchapa kazi balaa.

Keita ni failed project hana jipya kwangu sijui anasubiri lini kuuzwa🙈🙈 aachie nafasi kwa wengine wanunuliwe.

Fabio pale tumepata jembe si utani dogo ana utulivu sana na mpaka kuichagua Liverpool akijua fika ushindani wa namba ulivyo pale mbele ni ishara tosha kwamba amejipanga vyema kufika levo za juu.

Morton anakwenda kwa mkopo pale Blackburn Rovers kasha saini ni Klopp alisema aachwe amalizie pre season kwanza.

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom