Green Koryo
JF-Expert Member
- Jul 6, 2022
- 616
- 1,143
Hongereni Liverpool mmecheza kadanda safi


Haaland Kama flop Leo...Nunez tumemnunua discount? hatari sana
Kakojoe ulale sasa usije kujikojolea bure 🤣🤣🤣Chukuen sahan lenu tukutane EPL
Kabisaa👍👍👍safari hii EPL yakwetu km fabinho na thiago hawatapata majeruhi sioni wa kutuzuia
Na Uefa,aupercup na la klabu bingwa la Dunia kabeba.Stress free hahaha sasa ni rasmi Klopp kwa pale Uingereza kashamaliza makombe yote available kushinda....
YNWA
Mkuu sio kweli tumekaa na kina sterling & jesusu muda mrefu ,so pep kaamua kuleta damu changa bila kujali tuna gamble ili kuweza kuaangalia Kama tunaweza fika mbali hasa uefa ,Kwa namna City wanavyocheza, hawakumhitaji Haaland.. Gabriel Jesus angewatosha sana.
Kwa kufanya yote uliyosema naunga mkono hoja ila muda wa Stive kucheza Liver ulikuwa umeisha .Natamani siku Klopp anastaafu basi Steve awe tayari ameiva arithi mikoba yake.Hakika Klopp na Steve wanaipenda Liverpool.Liverpool ilikua Gerrard na Gerrard alikua Liverpool kimsingi tangu mwaka 2004 dogo alikua anaibeba hii timu kama mali yake, alicheza kwa kuchomwo sidano ili mradi awe uwanjani kuwaamshaamsha wachezaji wenzie na mashabiki kusaka ushindi...
Ndio maana hua nikisikia eti anafananishwa na akina Henderson hua nabakia kutoa macho kama fundi saa maana ni kama maji na oili hawa wachezaji ni tofauti kabisa...
Alikua nebo ya timu ndani na nje ya uwanja akiwakilisha vyema klabu yake pendwa.
Mourinho hakuficha kiu yake kutaka kufanya kazi na Steve akiwa Chelsea na baadae Los Blonco.
Maajabu sasa hawa ma beberu walivyoinunua timu na kuja na mikakati mpaka kumtema Steve huku akiuliza nyongeza ya mkataba kwa msimu mzima bila Rodgers kumpa jibu hakika ilikera sana alivyoodoka Steve lakini ndio maisha na sasa katupa kete yake kwenye ukocha ana safari ndefu lakini ndoto yake ni kutua Liverpool 1 day kama gaffer pengine mridhi wa Klopp.
YNWA
Leta namba za lukaku akiwa 21 years ulinganishe na haalandHakika Halland ni Lukaku Mweupe![]()
Kabisa huyu Gerrard mpaka Klopp anamaliza mkataba atakua kashaiva.Kwa kufanya yote uliyosema naunga mkono hoja ila muda wa Stive kucheza Liver ulikuwa umeisha .Natamani siku Klopp anastaafu basi Steve awe tayari ameiva arithi mikoba yake.Hakika Klopp na Steve wanaipenda Liverpool.
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Una utani na Pain killer maana hayo makombe yote anayaona kwa picha 🤣🤣🤣🤣.Na Uefa,aupercup na la klabu bingwa la Dunia kabeba.
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Njikojolee kisa liva mapuliKakojoe ulale sasa usije kujikojolea bure 🤣🤣🤣
Bora umeona kaka matip alikua mzito sana leo na huyu henderson ampishe tu Elliot naona dg anacheza kama Bernardo Silva hivi na liverpool ukiangalia kwasasa tunaitaji mido anaecheza mpira wa dizain iyo so uyu mzee atupisheKlopp anapaswa sasa aanze kuwaamini vijana, huyu Henderson anapenda sana kusindikiza, alikuwa anamsindikiza Jack Grealish akafunge
. Nunez naona akifanya mazoezi ili aingie uwanjani.
Kiukweli Joe Matip ni mzito sana kule nyuma ingekua vzur angempisha Konate.
Bhana ki ufupi niseme huyu Jesus sielewi hata Liverpool tulisinzia wapi maana dogo anapiga namba zote pale na kwa ufanisi...Kwa namna City wanavyocheza, hawakumhitaji Haaland.. Gabriel Jesus angewatosha sana.
Kwaiyo unampima haaland kwa mechi moja tena vs liverpool kwa logic izi sioni ukipishana sana na wale waliokuwa wanamponda Nunez kisa mechi za mwanzonikwa staili ya uchezaji wa haland istoshe kusema EPL atapata shida Sanaaa.
impact ya nunez inaonekana waliokuwa wanambeza atawaziba midomo anafanya pressing, ni tishio kwa mabeki na ana movement nzur
ExactlyBado nahitaji tupate two MF's (DM & CM),. Ligi ni ndefu mechi ni nyingi with ratation and 5 sub, no one will like us. Ila nitakubaliana kutokukubaliana na FSG & Klopp.
Imagine being us.
Yule Nunez (nunyez) mjiandae kisaikolojia.
Klopp alisema Salah ni kama hakuhitaji preseason. Kapiga cross na right leg ikazaa bao.
Andrian na zali lake la makombe, mnyonge mnyongeni haki mpeni Andrian amejitahidi sana.
Ni wazi pep atajiuliza sana kwa klopp kwa pira la leo.
Klopp and FSG do us a favour we need atleast o good DM & CM.
In Klopp we trust, in him we are safe.
YNWA