Wakipekee
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 6,427
- 11,150
Msimu gani Liverpool alikaa kileleni Xmas tofauti na ule wa 2014 halafu akakosa ubingwa???...Wewe ni mweupe kabisa kwenye league zero brain...
Mwaka juzi tulianzia na kipigo hatari ,pigwa Tano na lecister city ,spurs ya mo ikatunyoosha ,Tena sio hizo 3 nyepesi ,Tena league ilikuwa imeshaanza ,UK nzima wakaandika "very difficult man city to win the title" mpaka Christmas Liverpool alikuwa top kwa uzoefu wa league mtu akiwa top of the table chrismass basi huyo ni bibgwa na city hatukuwahi kukaa pale juu ..unajua Nini kilitokea ? ...
Mwaka jana community shield tulikula kichapo Cha mbwa Koko kwa lecister city ,league ikianza spurs akatunyoosha Kama kawaida son ,muda huo Chelsea wanasambaza kipigo ,man UTD , Liverpool....mpaka kinaambangile wakampa ubingwa Chelsea kwa kuwa alikuwa hatari ,solid defence,na alikuwa hafungiki ,ni baada ya kudraw na Liverpool anfied wakati walikuwa pungufu ,badae unajua Nini kilitokea ?....
Ndio maana nikasema wewe ni mweupe kichwani kuhusu league,this is marathon....!
City ni habari nyingine likija swala la marathon ,ingekuaa epl ni kucheza game moja tu hapo sawa ,ila game 38 ? ...chukua kiti kaa chini na kahawa subili uone maajabu sio kwa city tu hata man UTD ,Chelsea ,spurs ...
Dalili ya mvua ni mawingu sheikh hii Liverpool ya msimu huu ndo itakua hatari zaidi kuliko watu wanavodhani maana pale mbele Kuna "wauaji" huku Salah kule Diaz kati kuna mhuni Nunez... Najua ukileta mkeka kule kwenye jukwaa letu pendwa utakua unaipa Liverpool win wwwwwwwwwwwwwwww....
Hahhahhahahahhaha dj mac anasemaga maaaaaaaambo hayo ebwana
.Halafu sipati picha mtakavoteseka na white Lukaku wenu Hallangi






Anyway kupanga ni kuchagua YNWA


...
. Na msimu huu tutawadunda nje ndani dadeki... Ha huyo Hallangi mtamtoa kwa mkopo kwenda Nottingham forest akapasue mbao...
BREAKING: Liverpool wanatazamiwa kumzawadia mshambuliaji Diogo Jota kwa mkataba mpya mnono kama zawadi kwa mwanzo mzuri wa maisha yake ya soka hapo Anfield.