Wewe ni mweupe kabisa kwenye league zero brain

...
Mwaka juzi tulianzia na kipigo hatari ,pigwa Tano na lecister city ,spurs ya mo ikatunyoosha ,Tena sio hizo 3 nyepesi ,Tena league ilikuwa imeshaanza ,UK nzima wakaandika "very difficult man city to win the title" mpaka Christmas Liverpool alikuwa top kwa uzoefu wa league mtu akiwa top of the table chrismass basi huyo ni bibgwa na city hatukuwahi kukaa pale juu ..unajua Nini kilitokea ? ...
Mwaka jana community shield tulikula kichapo Cha mbwa Koko kwa lecister city ,league ikianza spurs akatunyoosha Kama kawaida son ,muda huo Chelsea wanasambaza kipigo ,man UTD , Liverpool....mpaka kinaambangile wakampa ubingwa Chelsea kwa kuwa alikuwa hatari ,solid defence,na alikuwa hafungiki ,ni baada ya kudraw na Liverpool anfied wakati walikuwa pungufu ,badae unajua Nini kilitokea ?....
Ndio maana nikasema wewe ni mweupe kichwani kuhusu league,this is marathon....!
City ni habari nyingine likija swala la marathon ,ingekuaa epl ni kucheza game moja tu hapo sawa ,ila game 38 ? ...chukua kiti kaa chini na kahawa subili uone maajabu sio kwa city tu hata man UTD ,Chelsea ,spurs ...