Narekeremo
JF-Expert Member
- May 20, 2021
- 723
- 768
Kuku mnatia huruma kwa haya manyanga mliyoyabwaga leo na usajiri wenu huo wa ovyo ovyo.
[emoji23][emoji23] huyu nunez ni lukaku, mda utaongeaDarwin Nunez muondoe mapena hapo usije aibika msimu huu au ujao
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwakweli pale tumepigwaDarwin nunez mmepigwa pale aise.
Hii iliandikwaaaaaMunasajili mataputapu subiri msimu uanze tujue mbivu na mbichi
RaheeeeeeemNyie mmesajili nani?
RaheeeeeeemNyie mmesajili nani?
Maisha yanakwenda kasi sana.Maisha ya Liverpool bila Mane[emoji174]
YNWA[emoji3590]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Spongy boy?He will get better...
Loaded with potential, can play RB or CM.
YNWA
Mkuu vipi nyie mlo angalia nasikia nunez ni origi mpyaFitness test.
YNWA
🤓🤓🤓🤓Sijaangalia mechi ndugu yangu....Mkuu vipi nyie mlo angalia nasikia nunez ni origi mpya
Hahahahahaaaaa!Nunez ni origi wakizungu
Baada ya kucheza dk 30 ndo umejua hiloNunez ni origi wakizungu