Janjaweed
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 13,152
- 10,682
Una matatizo sana weweNunez ni origi wakizungu
Una matatizo sana weweNunez ni origi wakizungu
Shida kubwa kwetu ni uwepo wa mancity. Ni kama ilivyokuwa kwa Atletico Madrid. Walikuwa na timu nzuri sana, ila uwepo wa barcelona ya kina messi na iniesta ndio ikawa kikwazo kwao. Lakini kudos kwao. Ndani ya miaka 10 wakapata laliga 2 na kucheza ucl mara mbili.Kichwa changu kinaniambia Liverpool mtawin EPL next season. Usajili wa Nunez & Luis Diaz ni mkubwa mno.
Sio kwamba Klopp anatutesa kung'ang`ania wachezaji badala waachie nafasi payroll ipungue ili waweze kusajili tena?Shida kubwa kwetu ni uwepo wa mancity. Ni kama ilivyokuwa kwa Atletico Madrid. Walikuwa na timu nzuri sana, ila uwepo wa barcelona ya kina messi na iniesta ndio ikawa kikwazo kwao. Lakini kudos kwao. Ndani ya miaka 10 wakapata laliga 2 na kucheza ucl mara mbili.
Hicyo hicyo kwetu sisi. City ndio tatizo kubwa kwetu. Kwa misimu mitatu au minne tumepambana nao kwa jasho na damu. Tumepata premier leafue 1 na wamechukua mara mbili kwa tofauti ya pointi moja. Na ndani ya msimu tunapata points 90+ afu unakosa ubingwa. Nadhani tutaendelea kuteseka mpaka Guandiola atakapoondoka pale city.
Hivi Mshahara wake ni hela ngapi?Sijaangalia mechi ndugu yangu....
Haya mambo ya pre season yasikupe sana hofu tuwe na subira...
Nunez ndio kwanza ana siku 2 kikosini tumpe nafasi kwanza kabla ya kutoa judgement mapema hivi...
YNWA
Laana ya kutomthamini Mane itatutafuna.Maisha yanakwenda kasi sana.
YNWA
Mkuu humu wanaojua mpira ni wachache na utawajua kwa comments zao.Wala hii siyo ya kutupa pressure kabisa!
CaptainSio kwamba Klopp anatutesa kung'ang`ania wachezaji badala waachie nafasi payroll ipungue ili waweze kusajili tena?
Pep hua hamng'ang'anini mchezaji endapo bei anayotaka inapatikana au hata kumwachia bure design ka Aguero, Silva, Toure, Kompany, Fernadhidho nk pamoja na umuhimu wao kikosini out put ilivyoshuka Pep hakua na kingine zaidi ya kuwaachie na kuleta wengine wanaoedana na kasi ya mfumo.. Pamoja na ubora wa Pep lakini tukumbaliane Manchester City ni timu inayojutuma sana uwanjani yaaani hua nadra sana uone wana break down au defence relapse sababu kuanzia mbele mpaka nyuma wana defend na kushambulia in tandem...
Klopp kukomaa na akina Henderson, Matip, Keita, Milner nk bila ku react mapema kunatugharimu sana pointi muhimu nwa hakuna namna Pep yupo mpaka 2025 tutakwenda nao hivyo hivyo...
YNWA
Huu msimu tunawachapa ,mane ndio mchezaji pekee aliyekuwa anaifunga city Kila game hata pre season tunaenda kucheza na buyern naona mane akitufunga TenaNunez tumepgwa pale. Inabidi Klopu amrudishe mane.

Hao hapo yupi anaweza pata namba kikosi cha Pep?Captain
Sasa ina maana Klopp amuache Joel Matip beki bora wa kati msimu ulioisha?
Keita aliyekuwa na msimu mzuri ndani ya liverpool tangu asajiliwe?
Amuache El Capitano Hendo mwenye work rate ya kutosha kwenye kiungo cha liverpool. Mr Liverpool alicheza zaidi ya 78% ya mechi zote za msimu ulioisha.
Amuache Milner mchezaji anayejitolea ndani na nje ya uwanja and the fittest player. (Vipimo vya pre season) kwenye kambi ya liverpool kwa misimu 7 ?
🙋🙋😂🙋😂🙋😂Huyo sahau tu Miss Liverpool...
Huu msimu mutakuwa na beki mbovu saana.
Dah!🙋🙋😂🙋😂🙋😂Huyo sahau tu Miss Liverpool...
Why worry tuna Keita, Chamberlain, Jones, Milner 😃😃😃yaaani kaa mkao wa kula maana ni ushindi tu haha in Klopp voice tena alisema tu book kabisa hoteli Uefa fainali tunakwenda mazima..
YNWA
LAKINI HAWA NDIO TUPO NAO NA WAMESHATULETEA MAKOMBE. ISHU YA LIVERPOOL TUNAIJUA NI POLICY ZA FSG WALAVTUSIWAZE TUENDELEE KUISAPOT TIMU YETU.Hao hapo yupi anaweza pata namba kikosi cha Pep?
Nwa nimtazamu wangu we got so many over rated players delivering very little when its matters...
Usione Salah kukomaa kudai ule mshahara na Mane kusepa vile akiwa amemjuza Klopp tangu 2021 hataongeza mkataba.
Otherwise ndio waliopo hakuna namna.
YNWA
😃😃😃😃😃Muache Keita apate mkataba wale ale maisha mnyamwezi mwenzetu hakuna namna.Dah!
Yaani Mane anaondoka eti tunabaki na akina Keita🥺
Sahihi ndugu yangu.LAKINI HAWA NDIO TUPO NAO NA WAMESHATULETEA MAKOMBE. ISHU YA LIVERPOOL TUNAIJUA NI POLICY ZA FSG WALAVTUSIWAZE TUENDELEE KUISAPOT TIMU YETU.
Mkuu mpira bhana wakati mwingine una tabirika kwa kuangalia nini kiliwakuta wenzetu au sisi kuachilia mchezaji/wachezaji tegemezi kama Mane nasema tegemezi kuanzia January 2021 mpaka ligi ndio alikua mchezaji bora pale mbele kwa magoli muhimu sana... Binadamu kua na wasiwasi na mambo kama haya ni kawaida hasa ukizingatia Mane ni kilaka alicheza Winga ya Kulia kabla hajaja Salah alivyokuja akamuachia akahamia kushoto na alivyosajiliwa Diaz ambae ni winga wa kushoto Mane akahamia false 9 bila noma wala nini na kazi kazi.. Hii sio jepesi kwani kote alikocheza Liverpool alipambana kadri awezavyo kwa ajili ya timu nadhani hii ndio inawapa wengi wasi wasi...Nashangaa watu kulia Mane Mane Mane, wengi wangekua nafasi nafasi ya Klopp na wao wangevunja mkataba kisa Mane ameondoka.
Klopp is our biggest signing, Chelsea na Man u wana bajeti kubwa ila anaye mchallange City ni Liverpool si kwa ubora wa kikosi ila uwezo wa Klopp.
Pitia liverpoolfc.com kasome plan za Klopp na alichofaidika nacho kwa mechi moja ya pre-season bila kujali matokeo.
Tunamlaumu Germany nazi ila FSG Policy kwenye kuendesha klabu ndo shughuli.
In my opinion we need proper DM & CM, hata bila usajili wa any MF, I'm with J.K.N.
YNWA.
Wapuuzi tu..... mechi moja ya majaribio maneno yanawatoka Kama wamelishwa kanda.....mane alikuwa na umuhimu ila huwezi kuniambia Kuna kitu Cha utofauti Sana ambacho alikuwa anaofer ambacho Diaz hawez kutupaNashangaa watu kulia Mane Mane Mane, wengi wangekua nafasi nafasi ya Klopp na wao wangevunja mkataba kisa Mane ameondoka.
Klopp is our biggest signing, Chelsea na Man u wana bajeti kubwa ila anaye mchallange City ni Liverpool si kwa ubora wa kikosi ila uwezo wa Klopp.
Pitia liverpoolfc.com kasome plan za Klopp na alichofaidika nacho kwa mechi moja ya pre-season bila kujali matokeo.
Tunamlaumu Germany nazi ila FSG Policy kwenye kuendesha klabu ndo shughuli.
In my opinion we need proper DM & CM, hata bila usajili wa any MF, I'm with J.K.N.
YNWA.