Mondela
JF-Expert Member
- Aug 20, 2021
- 2,567
- 3,780
Tim zenu zimewashinda huko kwenye usajili mnakuka kupozea machungu kwetu?Munafanya parade na CARABAO![]()
Tim zenu zimewashinda huko kwenye usajili mnakuka kupozea machungu kwetu?Munafanya parade na CARABAO![]()
Mmekwisha tayari ,huyo Darwin anaenda kuflop ,Diaz nae ni nguvu ya soda tu ,next season mtamkataaa kabisa![]()

Uwe na heshima kidogo na suarez.. Unapomtaja suarez ni striker class moja na kina benzema na lewandowski, humo ndani, darwin bado hajaonesha jambo, mpeni muda kwanza.Hapana Carrol alikua one season wonder na Dalglish nii muumini wa kujenga kikosi kwa kutumia Great Britain au UK players hivyo alifeli kocha ndio maana FSG hawakua na namna zaidi ya kupumzisha...
Darwin Nunez ni generation talent yaaani next big thing from Uruguay..
Darwin =Surez+Cavani.
YNWA
Munasajili mataputapu subiri msimu uanze tujue mbivu na mbichiTim zenu zimewashinda huko kwenye usajili mnakuka kupozea machungu kwetu?
Hakukuwa na kingine zaidi ya kuumia mara kwa mara, ilifikia wakati Agger kila baada ya mechi moja au mbili anaumia, na akipona hawezi kuwa kwenye form lazima apate match fitness, na timu kubwa nyingi zilikuwa zinamtaka ukiachilia mbali za Uingereza pia za Spain, Italy na German zilikuwa zinamtaka, ila mwenyewe alitamka kwa kauli yake kuwa, kama angeweza kucheza ligi ya ushindani angebakia Liverpool baadae ndio Liverpool wakambia atafute maisha mapya ya soka na yeye baada ya kufunguliwa mlango alisema anataka akacheze ligi yenye ushindani mdogo ili kuendana na hali yake ya afya. Ndio akahamia timu yake ya toka utotoni ya BrondbyAgger nakumbuka tulichomfanyia iliniuma sana yaaani hatukufanya fair hata kidogo maana nakumbuka Manchester City walileta ofa kwetu ya maana lakini Agger akasema mchana kweupe hana mpango wa kuhama timu atabakia Liverpool duuh msimu mmoja akanyimwa mkataba na kuambiwa atafute timu asepe zake yaaani iliniuma sana kiasi nikasema bora angewakumbalia Manchester City kuliko yaliyomtokea.
Mane duuh huyu hakuna cha kuongeza kuanzia kukumbali kuachilia jezi namba hali inavyotaka na kukumbali kuhama namba kutokana na mipango ya mwalimu yaaani alikua flexible kuanzia siku ya kwanza mpaka anasepa ni full professional...
Tetesi ni kwamba Bayern walikua tayari kuikacha hii dili na Mane moyo wake ulikua ni Bayern tu sasa Liverpool kwa kuheshimu mchango wa Mane na alivyoomba asepe akasake changamoto mpya Liverpool wakaona wasilete drama kumng'ang'ania Mane wakakumbali washushe bei kwa tofauti ya £7m ili Mane atimize ndoto yake.....
Ameodoka kwa heshima kubwa ndio maana mashabiki kidakidaki hawana hard feelings nae zaidi ya kum wish mema huko Bavarian.
YNWA
Nina imani na nilichokiona kwake kule Benfica...Uwe na heshima kidogo na suarez.. Unapomtaja suarez ni striker class moja na kina benzema na lewandowski, humo ndani, darwin bado hajaonesha jambo, mpeni muda kwanza.
Sent from my COR-AL10 using JamiiForums mobile app
Yeah dogo majeruhi yalimkomalia sana lakini mapenzi yake kwa Liverpool hayakua na kificho.Hakukuwa na kingine zaidi ya kuumia mara kwa mara, ilifikia wakati Agger kila baada ya mechi moja au mbili anaumia, na akipona hawezi kuwa kwenye form lazima apate match fitness, na timu kubwa nyingi zilikuwa zinamtaka ukiachilia mbali za Uingereza pia za Spain, Italy na German zilikuwa zinamtaka, ila mwenyewe alitamka kwa kauli yake kuwa, kama angeweza kucheza ligi ya ushindani angebakia Liverpool baadae ndio Liverpool wakambia atafute maisha mapya ya soka na yeye baada ya kufunguliwa mlango alisema anataka akacheze ligi yenye ushindani mdogo ili kuendana na hali yake ya afya. Ndio akahamia timu yake ya toka utotoni ya Brondby
Nyie mmesajili nani?Munasajili mataputapu subiri msimu uanze tujue mbivu na mbichi
Usishangae hata Halland akaflop kama Jack GrelishMmekwisha tayari ,huyo Darwin anaenda kuflop ,Diaz nae ni nguvu ya soda tu ,next season mtamkataaa kabisa![]()
Ni mwendo wa 4 3 2 1 kumekucha.....DNS kwa drip hii lazima Mgonjwa apige chafya tu
Natumai atacheza mbele dogo akiendelea alivyo ni moto sio poaRamsay
"I can play right back or central midfield or right wing, wherever"
Ingizo jipya letu hilo. Mgongoni no 22
Kujiamini ndiyo vizuri kabisa aisee... halafu wangempa six years huyu kabisa!View attachment 2266202
He only wanted Liverpool huku akijua anachuana na Trent inaonyesha dogo anajiamini sana.
YNWA
Kabisa alikua na ofa tangu January 2022 kwenda Italia lakini akasema ngoja msimu uishe atazame haswa wapi panamfaa na kwa Uingereza Leeds, Brighton na Southampton walikua mstari wa mbele kumsaka, kilichomvutia zaidi ni kuona kwa Liverpool vijana chipukizi wanapewa nafasi team A baada ya Trent, Jones, Elliott kupata dakika za kutosha huku pia kucheza na wachezaji hodari kama VVD, Robertson nk wakimvutia bila shaka na lile hug la Klopp nalo akilitamani na amechagua vyema mahala sahihi...Kujiamini ndiyo vizuri kabisa aisee... halafu wangempa six years huyu kabisa!
Sawa kaka tumpe muda aoneshe uwezo epl.Nina imani na nilichokiona kwake kule Benfica...
YNWA
Munasajili mataputapu subiri msimu uanze tujue mbivu na mbichi


