Mondela
JF-Expert Member
- Aug 20, 2021
- 2,567
- 3,793
Mi ninacho kiona Darwin Nunez hatuta mchukua, hatutaweza toa €80M kumchukua Darwin Nunez, hivyo tutawajambisha Man u apande Dau hata kwa €120M alafu sisi tunaenda kutafuta striker matata kwenye tim ndogo ndogo kwa hata €30 alafu unajua kitakacho mkuta huko Man U huyo Darwin Nunez? mungu ndio anae jua, atacheza Europa huko [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].