Ni ajabu unamuacha Gini na Mane lakini unamng'ang'ania Milner na Henderson yaaaaani 2 super bums... Damn Pep bingwa tena na tena.Natamani niwanyonge
Next season wanatuletea gundu akiyanani.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Waweza kuta mmiliki akaona kuna Diaz na Jota ya nini kununua wachezaji wakati Firmino na wale makinda wapo?
Hapo ndiyo mnaanza msimu huku mnabana P.



hapo kazi ipo kweli kweliAisee
Hivi Liverpool uongozi wetu wanatumia akili gani kuwaza?🥲
Timu litapigwa mabao nje ndani next season.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app


dah! Chakushangaza unaweza kuta wakauwasha

balaaNamimi nashangaaMmeanza kuongeza mikataba wazee huyo Babu milner ni WA kupewa mkataba kweli![]()




Hakuna kitu kama hiki mkuu.dah! Chakushangaza unaweza kuta wakauwasha
![]()
balaa
Hii timu kuishabikia inahitaji uwe na roho ya chuma aisee.Namimi nashangaa![]()
Mkuu huwa kuna sheria ya angalau wachezaji wazawa 6 (sina uhakika na idadi) kwa timu za kiingereza..Ni ajabu unamuacha Gini na Mane lakini unamng'ang'ania Milner na Henderson yaaaaani 2 super bums... Damn Pep bingwa tena na tena.
YNWA
#LFC


, najua tu Liverpool hawawezi toa €80m FSG mabahili mno 
, tukizubaa Man U watamchukua huyu mwamba.Mpk Aston villa na Nottingham forest wana UEFA, hawa man city,Arsenal wanaruka ruka tu miaka yote
Tayali ishakuwa official proposal na sio Wana plan.Liverpool are planning to prepare an opening, verbal bid for Darwin Núñez to test water with Benfica. Proposal could be around €80m with add-ons. Manchester United also in contact with Núñez’s agent.#LFC
Both clubs guarantee they have no intention to enter into bidding war.
Badala wafanye bid moja kwa moja wao wana test water yaani hii tim bhana, najua tu Liverpool hawawezi toa €80m FSG mabahili mno
, tukizubaa Man U watamchukua huyu mwamba.
Aisee hakuna namna kasha saini huyu ni wetu mpaka June 2023.Mkuu huwa kuna sheria ya angalau wachezaji wazawa 6 (sina uhakika na idadi) kwa timu za kiingereza..
Walifanya hivyo kulinda vipaji vyao..
Usishangae kuona Milner anakaa hapo.. Japo alishastaafu timu ya taifa lakini anabalance idadi ya wachezaji wazawa
Habari njema sanaaaaaa.Tayali ishakuwa official proposal na sio Wana plan. View attachment 2254597
Hii kitu niliamini itatokea maana isinge ingia akilini Nunez kujoin United na kuitosa LiverpoolHabari njema sanaaaaaa.
YNWA
Man U wanalialia huko kwenye page zao 😂😂😂Habari njema sanaaaaaa.
YNWA
Wasubiri tu NUNEZ aje awatunde vidole matakoni.Man U wanalialia huko kwenye page zao![]()
Mkuu weka akiba ya maneno kwanza, subiria mpaka Nunez asaini mkataba halafu ndio ujimwambafai vizuri.Wasubiri tu NUNEZ aje awatunde vidole matakoni.