Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,298
- 40,100
YNWA [emoji3590]
hapa kwa nunez mmepigwa aise.Next season is [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Subiri uuone moto wewehapa kwa nunez mmepigwa aise.
Huyu mmepigwa na kitu kizito hahaaa [emoji23][emoji23] epl haiweziKumbe ilikuwa ni serious? [emoji23][emoji23]View attachment 2257682
Yasije tokea kama ya Luis Figo, Loic Remmy na Nabil Fekir, sajili zao kufeli dakika za mwisho.Kumbe ilikuwa ni serious? [emoji23][emoji23]View attachment 2257682
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wamepigwa kwa mdomoni ila kwa moyoni tunasikitika kinoma kumkosa huyu Christiano Ronaldo wa zama zijazo.hapa kwa nunez mmepigwa aise.
Dogo futa hii umemkosea sana heshima gwiji letu CR7 kocha sio fala kumuacha aende.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wamepigwa kwa mdomoni ila kwa moyoni tunasikitika kinoma kumkosa huyu Christiano Ronaldo wa zama zijazo.
Huyu dogo akilelewa vizuri baada ya miaka 3 mbele atakua ndio mrithi halali wa Ronaldo.
Huyu mmepigwa na kitu kizito hahaaa [emoji23][emoji23] epl haiwezi
hapa kwa nunez mmepigwa aise.
Ndio hapo sasa [emoji23][emoji23]Tumepigwa baada ya Manure kumkosa
Kuna tofauti yake na Haaland maana wote ni wageni EPL.Huyu mmepigwa na kitu kizito hahaaa [emoji23][emoji23] epl haiwezi
Na mshahara wa £300k plus kwa Grealish ndio maana sasa akina Bernardo, Jesus na Sterling wameona isiwe tabu ngoja wasepe zao aafu huyo Grealish ambae ni bench warmer asimame sasa mazima..Grealish £100M
😂 😂 😂 😂 Zama za Ronaldo na Messi sasa zipo hatarini kua historia. Wafuatao wanatajwa kua waridhi wa hawa magwiji wa kwanza ni Mbappe, wa pili ni Halaand na wa tatu ni Darwin Nunez.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wamepigwa kwa mdomoni ila kwa moyoni tunasikitika kinoma kumkosa huyu Christiano Ronaldo wa zama zijazo.
Huyu dogo akilelewa vizuri baada ya miaka 3 mbele atakua ndio mrithi halali wa Ronaldo.
CR7 kwa sasa ubora wake ni kibiashara zaidi kuliko uwajani maana zile gemu muhimu alionekana tu gemu ya Tottenham EPL. Huyu sio tegemeo kwa kurudi kwenye ubora wenu atawachelewesha sana.Dogo futa hii umemkosea sana heshima gwiji letu CR7 kocha sio fala kumuacha aende.