Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Duh comments z hivi karibuni kwenye huu uzi mlikuwa mnamuita firmino as best false 9 in the world leo mnamuweka kwenye list ya exodus[emoji23]..... And [emoji117]Gallagher not for sale

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app

Kila kitu kina mwanzo na mwisho, ni kweli wakati yupo kwenye Peak Firmino alikuwa best false 9, lakini kwasasa umri umeenda na uwezo umeshuka ndiyomana anatumiwa kama squad player.
Hata Drogba ulipofika muda aliamua kupisha wengine waitumikie Timu.
Fahamu Logic.
 
Kama unajua Kila kitu kina mwisho,kwanini u judge kuhusu timu nyingine kufanya vibaya Kwa sababu Liverpool kufanya vizuri.

Hivyo hivyo Kwa wachezaji viwango kushuka.Wakati unajua Kila kitu kina mwisho
 
Mane sikumuelewa alivyo piga tuta fainali ya FA,Alivyo rudi Kwa wachezaji wenzake sijui alikuwa anacheka nini
 
Duuuuh hii timu ina nini lakini mpaka babu profesa kakataa ajira hii.

View attachment 2243919

YNWA
ETH alionesha haja support uwepo wake huyo jamaa.Maana aliulizwa vipi uwepo wake RR kwenye consultant role. Ten Haag akajibu in short it's decision of the club.

Sasa yeye alishindwa ku jiconsult mwenyewe alipo kuwa manager.Halafu aje amu consultant ETH [emoji16]. Inachangaza.Sema jamaa kajishitukia kaamua kuachia ngazi licha ya kuwa alikuwa na plan kibao na timu akiwa na ETH lakini ndo hivyo,kajiongeza mweyewe.
 
Hiyo paragraph ya mwisho ni maoni yako tu na matamanio.

Kuhusu swala la kukosea hata Chelsea makocha wakizungua wana furushwa ndo Ile kauli ya usipo jiheshimu,Hauta heshimiwa inavyo fanya kazi.

RR aliwakosea sana man u na kuwadharau kwa ile kauli ya kwamba timu inatakiwa inunue wachezaji 10 waliopo wote wauzwe.Dharau kubwa sana kuonesha kwamba bodi haikuwa sahihi kununua wachezaji karibia kikosi kizima cha first eleven.

Kinacho shangaza zaidi ETH akasema ana hitaji almost wachezaji wanne au watano kutengeneza kikosi chake.

All in all uwezo wake ulikuwa mdogo,alitumia muda mwingi kulalamika kuliko kufanya kazi.

USIPO JIHESHIMU,HUTOKUJA KUHESHIMIWA.
 
Sahii kabisa[emoji4][emoji106]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…