Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Fafanua vizuri kwamba kivipi ligi nyingine hazina ela na EPL ina hela. Kwa kifupi ni kwamba pesa inazopewa timu kwa kushinda kombe sio pesa za kuwezesha kuendesha klabu, imagine bingwa wa EPL anapewa prize money £44.6m hizo pesa hazitoshi hata kununua mchezaji mmoja wa kiwango. Timu huwa zinanufaika kutokana haki za matangazo, viingilio vya kwenye viwanja vyao, udhamini n.k. Nihitimishe kwa kukwambia wewe bado ni mchanga kwenye mpira ushabiki umekujaa kichwani. Kukamia mechi hakukupi ushindi, ingekuwa ni kukamia kunakupa ubingwa hata Westham wangekuwa wameshinda EPL. Kuhusu timu nyingine La liga kutobeba UCL nikwambie tu mbaya wao ni R.Madrid kwasababu ni giant, isingekuwa madrid basi Atletico Madrid angekuwa ameshabeba mara 2, na Valencia mara 1.
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]. What kind of nonsense is this? Kati ya timu za Laliga na EPL ni zipi zinakamia? Hembu angalia ni timu gani zinawekeza mabilioni ya hela ili kushinda UCL.. EPL ina hela au ni hela za waarabu zimejaa EPL?? Real Madrid, Baca etl hazina wamiliki lakini fatilia mara ngapi hizi timu zimekua juu kifedha zaidi ya hizi za EPL kabla haujaendeleza utumbo wenu mnaongea kila siku
 
Huyu atakuwa ni mwanafunzi wa kidato cha pili hakuna anachojua kwenye mpira, amejawa na ushabiki maandazi.
 
Amka kumekucha wewe Neno "inge" huja baada ya safari
 
Hatari sana
 
Juventus ndio timu pekee ilishindwa mara nyingi fainali za UEFA zaidi ya Liverpool
Juve kashondwa mara 5
Liverpool kashindwa mara 3
 
Mwaka jana Chelsea imepiga RM na ATM hukuwa umezaliwa?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…