Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

[emoji91][emoji28][emoji28]
IMG-20220522-WA0054.jpg
 
Habari za asubuhi[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]
mancityworld-20220522-0004.jpg
 
Amkeni amkeni amkeniii



Kumekucha kuchaaaa amkeni [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460][emoji460]
mancityworld-20220523-0001.jpg
 
nawaza sijui klop asajili watu gani ili 23 tunyanyue kwapa za epl,,
but i hope mwakani tutanyanyua, mana hata ule msimu wa 19 tulikosa kwa point 1, then 20 tukanyanyua.......

vijana wamefanya kazi nzuri sana mwaka huu
Msahau EPL kabisa nguvu za hamshaamsha zinaelekea kuisha. Msimu ujao ushindani utakuwa wa City na Newcastle
 
Oyaaa hivi hayo makombe 19 mliyochukua huku mkidai ni ya epl mnauhakika kweli mlichukua ,maana ilikuwa B.C miaka ya 1400huko [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Oyaaa Liverpool haya ndio makombe yenu 19 mnayosema miaka hiyoo before Christ (B.C) [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28]ifike hatua muwe na adabu
IMG-20220523-WA0051.jpg
 
Oyaaa hivi hayo makombe 19 mliyochukua huku mkidai ni ya epl mnauhakika kweli mlichukua ,maana ilikuwa B.C miaka ya 1400huko [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kama Madrid alivyochukuwa UEFA wakati team zinaalikwa kwa card kama za harusi miaka hiyo black and white.
 
Liverpool tunahitaji viungo wawili wakali na beki wa kulia mmoja lakini team iko vizuri sina uhakika kiungo gani tunahitaji ila lazima wawe na viwango kama vya Fabinho na Thiago nadhani tutapush sana na striker mmoja kwani sidhani kama wale front wote watatu watabaki mmoja ataondoka, Jumla wachezaji wa 4 hasa Mid wawili na striker number 9.
 
Huoni aibu kuishabikia city?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wahi Duka la dawa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom