Aisee Thiago pancha, Keita pancha, Matip pancha, Henderson pancha sasa hapo unakosa aje kuwapa rotation hao na utegemee kushindana mazima na Pep.
Unless uniambie sasa usajili mpya pale kati Klopp atue mazima sokoni kuongeza nguvu mpya na mbinu mpya.
Kwa msimu huu nauhakika tupo tulipo sababu game management ya hao hapo juu ilikua top class ndio maana wapo angalau fit asilimia 80 mpaka sasa.
My take ni Klopp atazame yafuatayo.
Klopp atamaze upya hii high line tazama upya leo tumekua exposed mara nyingi tu sema Wolverhampton hawakufanya maamuzi sahihi na nafasi zao.
Klopp atazame upya ulazima wa kusajili namba 9 wa ukweli ili hizi kosa kosa nyingiii pale zipate jibu. Tunatengeneza nafasi nyingi sana msimu huu lakini hatukua clinical wakati sahihi tazama Jota anapotea na kuibuka ghafla kwenye kufunga ni nguvu kumtegmea same case na Salah ni kama kuna behind the scenes zime impact msimu wake. Bila impact Diaz tungekua tunaongea mengine kabisa msimu huu.
Wafuatao naona hakika wasepe zao Milner, Firmino, Ox, Keita,... Hapa tulete idea mpya kusonga mbele maana msimu wa tatu vile tunapata pointi 90+ bila ubingwa hilo tuu ni ushahidi tosha ubora wa Citeh..
Nawapa big up vijana kwani hakuna hata kombe hata moja tulikua favourite yaaani kama ni
EPL favourite alikua Citeh, Blues, Devils, Liverpool
Champions league favourites ilikua
PSG, Citeh, Bayern, Blues.
Sasa hapa tulipo tumejishangaza hata sasa yaaani ni msimu bora kwani tunaongeza na makombe mawili mapya ambayo Klopp alikua haja shinda.
All in all mambo ni mazuri sana msimu huu tulipo wengine wanapatamani sana lakini ndio hivyo ni ndoto tu kwao.
YNWA