Aisee Thiago pancha, Keita pancha, Matip pancha, Henderson pancha sasa hapo unakosa aje kuwapa rotation hao na utegemee kushindana mazima na Pep.
Unless uniambie sasa usajili mpya pale kati Klopp atue mazima sokoni kuongeza nguvu mpya na mbinu mpya.
Kwa msimu huu nauhakika tupo tulipo sababu game management ya hao hapo juu ilikua top class ndio maana wapo angalau fit asilimia 80 mpaka sasa.
My take ni Klopp atazame yafuatayo.
Klopp atamaze upya hii high line tazama upya leo tumekua exposed mara nyingi tu sema Wolverhampton hawakufanya maamuzi sahihi na nafasi zao.
Klopp atazame upya ulazima wa kusajili namba 9 wa ukweli ili hizi kosa kosa nyingiii pale zipate jibu. Tunatengeneza nafasi nyingi sana msimu huu lakini hatukua clinical wakati sahihi tazama Jota anapotea na kuibuka ghafla kwenye kufunga ni nguvu kumtegmea same case na Salah ni kama kuna behind the scenes zime impact msimu wake. Bila impact Diaz tungekua tunaongea mengine kabisa msimu huu.
Wafuatao naona hakika wasepe zao Milner, Firmino, Ox, Keita,... Hapa tulete idea mpya kusonga mbele maana msimu wa tatu vile tunapata pointi 90+ bila ubingwa hilo tuu ni ushahidi tosha ubora wa Citeh..
Nawapa big up vijana kwani hakuna hata kombe hata moja tulikua favourite yaaani kama ni
EPL favourite alikua Citeh, Blues, Devils, Liverpool
Champions league favourites ilikua
PSG, Citeh, Bayern, Blues.
Sasa hapa tulipo tumejishangaza hata sasa yaaani ni msimu bora kwani tunaongeza na makombe mawili mapya ambayo Klopp alikua haja shinda.
All in all mambo ni mazuri sana msimu huu tulipo wengine wanapatamani sana lakini ndio hivyo ni ndoto tu kwao.
YNWA
Kwahiyo ujio wa Halland ndio utabadilisha kila kitu? Kama akina messi wameenda psg na hakuna walicho badilisha ndio itakua huyo halland? Mpira ni akili bhana.Liverpool mnaongea saaana huu msimu hata man u hajawahi kuwa proud kama nyie
Sasa mjiandae city atachukua makombe mfululizo hadi haaland atakapo ondoka city
Just mark my words
All in all we're together on UEFA final
But ata mkipigwa ni poa tu coz mnaongoza kwa shombo/shit
Wao waongee tu kuwa Liverpool ni habari nyingine, hatuna classic players lakini tunapambana na kuonesha ushindani juu ya city ambae anachukua classic players tena kwa kuanzia 100M € nakuendelea lakini sisi ni 40M € na kuendelea sasa sijui hawaoni aibu kwa kubishana na sisi?Sasa sisi tukifalijiana wewe unaumia nini? Mafanikio yetu tunayopata sasa hivi mnatuchukia pasipokuwa hata na sababu ya msingi.
Et maswa Bariadi, nimecheka kweliHuyu Mke wa Gomez ni wa Kanda ya Ziwa kabisa dizaini kama ya Mzaliwa wa Maswa hivi




Mchezaji yupi nyie ambaye sio class player? Ko Maherez ni class player kuliko Salah au Mane, au Stone ni class player kuliko Vvd au Calcelo ni class player kuliko Robertson. Kuweni serious na visingizio vyenu. Mnawachezaji wazuri na mna timu nzuri jivunieni. Sema mna bahati mbaya mmekuja kipindi Cha utawala wa Pep EplWao waongee tu kuwa Liverpool ni habari nyingine, hatuna classic players lakini tunapambana na kuonesha ushindani juu ya city ambae anachukua classic players tena kwa kuanzia 100M € nakuendelea lakini sisi ni 40M € na kuendelea sasa sijui hawaoni aibu kwa kubishana na sisi?
Mkifikisha hio target ya 95+ mtamkuta kipara tayari ana 100+Tulikosa Ubingwa kwa points 95
Tumekosa Ubingwa kwa points 92
Hii hali tusiichukulie poa kiukweli Tumetengeneza Timu nzuri katika 'Wrong Era'.
Kwa point hizo tangekuwa kwenye Kipindi sahihi basi tungebeba Ubingwa mara zote 2 kwani wenzetu walibeba Ubingwa kwa points kati ya 82 na 85.
Hivyo next season target yetu iwe ni kukusanya points 95+.
Hizo ndiyo Standard alizoziweka PEP.


