OhoooCity wako level.
Liver viazi tu.A.villa kaona hatujisaidii kaona aachie tu.



Anawasolola 🤣🤣Teh teh teh
Man city alukua anawadere tu

Learn to walk aloneShughuli imekwisha![]()
Dah 2 bila dakika ya 75 unafungwa 3 dah huo ni umama..... Sema villa wanataka hela grealishYaani nyie mumshindwe kumfunga city, lawama mumtupie villa!?
Never give up.Learn to walk alone