Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Job done over to the next game.
Thanks Klopp.
YNWA
Aannze tu huyu dogo ..Kwa sasa hatuna benchi dhaifu tuna uwezo wa kuhimili haya majeruhi.
Unasema aje Diaz aanze ama aingie kipindi cha pili?
Hii gemu inamfaa zaidi Origi ana kismati sana na hii beach team yaaani anaweza kutoka na hat trick
YNWA
Asubiri ile ya Madrid
KabisaKlop amesema yuko responsible 50% for that penalty miss ya Sadio.
Boss mbele na nyuma tuko kamili, ila shida ni viungo , Thiago na Fab wanatakiwa wapate msaada pindi wanapokosekana. Naona kwa GINI tulipoteza mtu sahihi.Kwa sasa hatuna benchi dhaifu tuna uwezo wa kuhimili haya majeruhi.
Unasema aje Diaz aanze ama aingie kipindi cha pili?
Hii gemu inamfaa zaidi Origi ana kismati sana na hii beach team yaaani anaweza kutoka na hat trick
YNWA
The famous KLOP hug