Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Umesikia lakini bodi nzima ya UEFA inalalamika kua mashindano hayawezi kua na mvuto endapo United hata shiriki?
Timu kubwa kibao zimelalamika hawatashiriki Uefa endapo hawataiona Manchester United kwenye hayo mashindano.
Ili kunusuru mashindano viongozi wa Uefa wamepanga kuja kupiga magoti kuiomba Man United ishiriki kwenye mashindano yao hata kama haijaingia kwenye top 4.
Hii ina maana Uefa inaihitajia zaidi Manchester kuliko United inavyohitaji Uefa.
Hata ukienda Conference league huna uwezo wa kushinda.
 
Hii imekaa aje, mambo ya Play off ndani ya EPL.

Mara pap Liverpool na Manchester City tunamaliza kwa magoli sawa na pointi sawa itakua kwa mara ya kwanza hili kutokea maana head to head Liverpool vs Manchester City ipo sawa Anfield tulitoka 2 kwa 2 na Ethad nako ilikua ni 2 kwa 2 hivyo ikitokea ligi inaisha tupo pointi sawa na magoli pia tupo sawa basi tunakwenda kucheza play off pale Wembley kuamua nani bingwa. Hii ikitokea itakua ni mara ya kwanza tangu kuanzishwa kwa EPL.

Hii msimu umekua na matokeo tusiyotegemea.

YNWA
Point zifanane ya nini?wakati liverpool ndio mabingwa wa Epl.
 
Hii imekaa aje, mambo ya Play off ndani ya EPL.

Mara pap Liverpool na Manchester City tunamaliza kwa magoli sawa na pointi sawa itakua kwa mara ya kwanza hili kutokea maana head to head Liverpool vs Manchester City ipo sawa Anfield tulitoka 2 kwa 2 na Ethad nako ilikua ni 2 kwa 2 hivyo ikitokea ligi inaisha tupo pointi sawa na magoli pia tupo sawa basi tunakwenda kucheza play off pale Wembley kuamua nani bingwa. Hii ikitokea itakua ni mara ya kwanza tangu kuanzishwa kwa EPL.

Hii msimu umekua na matokeo tusiyotegemea.

YNWA
scenario za hii kutokea ni liver ashinde mechi moja na kudroo moja, kisha city afungwe mechi yake ya mwisho!

so far gd ni 7,.........sijui lakini
 
scenario za hii kutokea ni liver ashinde mechi moja na kudroo moja, kisha city afungwe mechi yake ya mwisho!

so far gd ni 7,.........sijui lakini
On Paper ni ngumu sana hii kutokea lakini kwenye mpira lolote linaweza tokea hakuna kinachoshidikana...

Ngoja tuanze kesho kwa kupambana St Marys aafu vijana watakua na siku 4 za ku recover.

YNWA
 
Klopp ana akili sana
Muda anamuingiza Milner wengi humu mlilalamika lakini alikuwa ashasoma mchezo kuwa utaenda kwenye matuta.

Mane kwenye Penalt hafai aisee.
Milner tangu asababishe sare ugenini Chelsea hua sina imani nae kabisa yaani muda mwingi anawazag kupiga viatu 🙄🙄😂😂😂😂😂😂😂😂

Na kesho tetesi Salah na VVD hawapo kikosini usishangae kumuona Milner ndaniiiiii

YNWA
 
Milner tangu asababishe sare ugenini Chelsea hua sina imani nae kabisa yaani muda mwingi anawazag kupiga viatu

Na kesho tetesi Salah na VVD hawapo kikosini usishangae kumuona Milner ndaniiiiii

YNWA

Lakini jamaa ni mzuri sana kwenye penalt.

Salah hata asipokuwepo ni sawa tu,yupo Mane,Jota,Diaz ,Bobby,Origi yaani pale mbele Sina wasiwasi.

Ila VVD,,Anyway..yupo Matip
 
Lakini jamaa ni mzuri sana kwenye penalt.

Salah hata asipokuwepo ni sawa tu,yupo Mane,Jota,Diaz ,Bobby,Origi yaani pale mbele Sina wasiwasi.

Ila VVD,,Anyway..yupo Matip
Kwa sasa hatuna benchi dhaifu tuna uwezo wa kuhimili haya majeruhi.

Unasema aje Diaz aanze ama aingie kipindi cha pili?

Hii gemu inamfaa zaidi Origi ana kismati sana na hii beach team yaaani anaweza kutoka na hat trick

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom