BARDIZBAH
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 6,417
- 12,985
As Roma walipata pesa sahihi kabisa kwa huyu kiumbe. Halafu sasa sio kipa tu umesahau pia anafunga na kutoa assist kuliko Lingard na Joginho[emoji23][emoji23]View attachment 2226845
Binafsi hua nasema Allison ndio usajili bora wa Klopp, huyu mwamba muda mwingi anatuweka mchezoni pale anapohitajika.
Asante sana Allison.
YNWA