Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Barcelona kwa staa wake wengi wanaotoka nje ya Spain hua wanaodoka ki ajabu ajabu sana..
YNWA
Badala ya Salah tuna Origi..Hata akicheza Mane,Diaz na Jota mwanzo mwisho ni sawa.
,tuna Thiago,Robbo na Keita ataperform.




Mambo ni mazuri sana. Sina wasiwasi na vijana watakaopata namba kucheza leo maana wanaelewa kwa sasa kila gemu ni fainali kwetu.Badala ya Salah tuna Origi..Hata akicheza Mane,Diaz na Jota mwanzo mwisho ni sawa.
Kwa VVD tuna Matip,atakaa na Konate namdogo wetu TAA.
Bald head hayupo,tuna Le kapteni Henderson,tuna Thiago,Robbo na Keita ataperform.
Mechi imeshaisha hii
YNWA
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Wanaenda kuupiga mwingiMambo ni mazuri sana. Sina wasiwasi na vijana watakaopata namba kucheza leo maana wanaelewa kwa sasa kila gemu ni fainali kwetu.
YNWA
Kwa wiki???
View attachment 2227600
Huyu dogo anafaa kumridhi Bobby pale mbele ishu kuu hapa ni RB watakomaa bei iwe £40m+..
YNWA
Pep sio Kocha wa kushindana naye kwa kupiga Ramli
Mkuu huyu dogo ukipata muda msimu ujao tazama mechi kadhaa utaona ana talanta fulani hivi amazing.Huyo ni New version ya hawa 👇
- Mkhitaryan
- Dembele
- Pulisic
- Werner
- Kai
- Sancho
Siamini mchezaji yoyote wa Dortmund kuja EPL tutapigwa tu.
Soon kuna Timu itapigwa za kutosha kwa Jude Bellingham
😂😂😂😂😂😂😂Kwa wiki ndio hahahaha dogo imajini asipopata changamoto ya majeruhi mpaka afikishe miaka 30 atakua wapi kipesaa yaaani.Kwa wiki???
Hakuna kazi nzuri kama kucheza Mpira🙌
Mkuu huyu dogo ukipata muda msimu ujao tazama mechi kadhaa utaona ana talanta fulani hivi amazing.
RB Leipzig wamekomaa June hii hawamuuzi lada itokee ofa matata sana.
Sancho naona mahela yamemchanganya aisee maana zile gongagonga za Uduna Park hazipo tenaaa.
YNWA
AiseeKwa wiki ndio hahahaha dogo imajini asipopata changamoto ya majeruhi mpaka afikishe miaka 30 atakua wapi kipesaa yaaani.
YNWA