Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]Man city wajiandae kisaikolojia, tukishinda kesho, game yao na Aston villa watakua na presha kubwa sana.

Ambayo haitawaacha salama [emoji1787][emoji23]

Epl liverpool tunabeba
Tusiwape matumaini, ubingwa ni WA city. Ukweli usemwe jamani
 
🤣🤣😂😂😂🤣Man city wajiandae kisaikolojia, tukishinda kesho, game yao na Aston villa watakua na presha kubwa sana.

Ambayo haitawaacha salama 🤣😂

Epl liverpool tunabeba
Hata Liver na Wolves hamtakuwa salama, mtelemko hautakuwepo kwa timu zote
 
Adjustments.jpg
 
Acha hasira basi, hii ni burudani, je ukikosa zote mbili sasa, si itabidi upigwe pingu
Sisi tumeshapata komber letu moja la Todd tunasubiri msimu ujao tuanze tena
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Sina hasira Mkuu ni JOKESS tu.
 
Game ya mwisho Man City anacheza kwenye Dimba lake hivyo ni rahisi kushinda na kubeba Kombe
kabisa,
tusiweke matumaini sana.....

sema ni very technical hasa kwa klop, namna atapanga kikosi chake maana bado atasense nafasi ya ubingwa (still matumaini yapo japo kwa 1%)
 
View attachment 2225612
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wakati ni wetuuuuuuu.

Enjoy while we can.

YNWA
Wakawaza ule mpaisho wa kepa
 
View attachment 2225611
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]

Mtuache jamani angalau na sisi tufurahie huu uflame.

YNWA
Ollachuga atakuwa alijisemea tu kuwa hapa tushapigwa[emoji23]
 
kabisa,
tusiweke matumaini sana.....

sema ni very technical hasa kwa klop, namna atapanga kikosi chake maana bado atasense nafasi ya ubingwa (still matumaini yapo japo kwa 1%)
Aweke full kikosi, ubingwa tunabeba huu.

Nani alijua man city leo angedroo 🤣😂
 
Mabingwa wa penalti [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Epl nayo mshindi angekua inapatikana kwa penalty kila mwaka wangekua washindi.
Wazee wa makombe ya mchongo. View attachment 2225641
Hivi nyie man u aka kikundi cha panyaroad mnatoa wapi jeuri ya kusema ushindi wa mchongo wakati nyie hata penalty za mchongo hamuwezagi kupiga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom