Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Penati zinatisha sana aisee presha ni kubwa mno...After Salah mpiga penalty mwingne wa team ni Fabinho
YNWA
Penati zinatisha sana aisee presha ni kubwa mno...After Salah mpiga penalty mwingne wa team ni Fabinho
So Liverpool ina EPL moja ndani ya miaka 32, kwanini priority isiwe huko, au hilo moja linatosha?Umeshaambiwa hizi cups hazikuwa piority kama EPL na UEFA kipindi cha nyuma ila baada ya kushinda Yale na kikosi kuimarika kwanini asiyape haya makombe piority sasa na msimu ujao hata akipanga U23 hatutamlaumu
Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
Mabingwa wa penaltiLivermbupu leo.View attachment 2225603




Kwani Epl inapatikana kwa penalty???So Liverpool ina EPL moja ndani ya miaka 32, kwanini priority isiwe huko, au hilo moja linatosha?
Chambuzi la nyumbuKwani Epl inapatikana kwa penalty???
Hawa ni mabingwa wa penalty, unaweza waita mabingwa wa chongo.

EPL isingekuwa piority kwetu Man city angekuwa bingwa tayari mapema tu. Ivi Arse8 ana EPL ngapi miaka 18 iliyopita yaani watu wanazaliwa wanakuwa watu wazima hawajawai ona Arse8 akiwa BingwaSo Liverpool ina EPL moja ndani ya miaka 32, kwanini priority isiwe huko, au hilo moja linatosha?
Ronaldo mnamuabisha yani msimu ujao anacheza na wakina Bado limit, Fc Twente, Partizan Belgrade, CSKA Sofia huko conference league nacheka saaaaana hahaha hahaha kashindeni na nyie huko kwa mchongoKwani Epl inapatikana kwa penalty???
Hawa ni mabingwa wa penalty, unaweza waita mabingwa wa chongo.
Chambuzi la nyumbu![]()


Huo sio uchambuzi wangu ni maneno ya Super Coach Pep Guardiola Sawa mkuu nimekuelewa aisee thanksHapana! Issue sio kuufungua ukuta wala kushambuliwa, issue unapoangaliwa mpira unatakiwa uwe na Confidence + hope.
Sikuzote katika maisha haijalishi ni magumu kiasi gani unapitia but kuamini kama utashinda.
Sio jambo zuri kwa Mshabiki kuanza tu game tena ikawa mwanzo mwisho unatanguliza kauli za kufungwa tu.
Mimi kipindi nakaa home niliacha kuangalia mpira home kwasababu ya Baba yangu mzazi! Unajua kwanini?
Toka mpira unapoanza analalamika kufungwa mpaka inamaliza! Hata kama dakika ya 90' munaongoza 3 kwa 0 basi utamsikia 'Ahhh yatarudi muda wowote haya'.
Hivyo ukiangalia Mpira Jiamini na kuwa na Imani ndugu.
Umesikia lakini bodi nzima ya UEFA inalalamika kua mashindano hayawezi kua na mvuto endapo United hata shiriki?Ronaldo mnamuabisha yani msimu ujao anacheza na wakina Bado limit, Fc Twente, Partizan Belgrade, CSKA Sofia huko conference league nacheka saaaaana hahaha hahaha kashindeni na nyie huko kwa mchongo
Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
Hata kwa kutoa rushwa hamuendi kokoteUmesikia lakini bodi nzima ya UEFA inalalamika kua mashindano hayawezi kua na mvuto endapo United hata shiriki?
Timu kubwa kibao zimelalamika hawatashiriki Uefa endapo hawataiona Manchester United kwenye hayo mashindano.
Ili kunusuru mashindano viongozi wa Uefa wamepanga kuja kupiga magoti kuiomba Man United ishiriki kwenye mashindano yao hata kama haijaingia kwenye top 4.
Hii ina maana Uefa inaihitajia zaidi Manchester kuliko United inavyohitaji Uefa.
@lembu umeanza sasaRamli zenu na dua zenu naona zinaenda kama zilivyopangwa japo kuan watu hapa watakuja kujibu kuwa Liverpool ina uwezo wa kubeba EPL bila ya dua na ramli


He he heeeee,mechi iishe sasa 😂😂😂😂Jarrod Boweeeeeeeeen![]()
Huo sio uchambuzi wangu ni maneno ya Super Coach Pep Guardiola
"Liverpool ni wazuri katika mashindano yenye penalty kuanzia Carabao, FA na mashindano ya ulaya lakini sio EPL, ndio maana wameshinda mara moja tu kwa kipindi cha miaka 30"