bobby_Barbosa_9
JF-Expert Member
- Jul 29, 2019
- 633
- 1,275
Hii kitu iliniuma sana, ifike kipindi aache usng aweke team mbele ya mafanikio binafsi. Bobby atabaki kuwa mtu safi sanaNiliwahi kusema kuna siku ubinafsi wa wachezaji fulani kama Sarah kutompa pasi Diaz utaigharimu timu, sasa ndicho kimetokea kwenye mechi yetu na Totteham[emoji3525]
Asa unazani kwanini asichukue?Wana mpira gani zaidi ya counter attack wanazocheza? Conte Kwa mpira huo ndio anataka kuchukua EPL kweli?
Weka playstation 4 ucheze Against Spurs na uwe sharpLeo naona kuanzia mwanzo tulikuwa slow sana kipindi cha kwanza,halafu robertson amechoka Aisee hasiwe anaanza maana one against one anakaba sana kwa macho.
Timu iko vizuri,kinachotakiwa kuongeza uharaka hasa kwenye timu inayokaa nyuma.
Diaz hakuwa na speed sana na tulikuwa tunapooza sana mipira kwenye kipindi cha kwanza,ilitakiwa tuwetunawakimbizA sana ilikupata nafasi hasa wanapoenda kishambulia.lakini tukawa tunapaka mpira rangi sana mpaka wanakuja kuziba nafasi.
Timu iko vizuri.
Goals 7 mmeshazisahau?Hatuja wahi kuiogopa Aston villa na wala hatutakuja kuiogopa .
Tuko vizuri sana.
‘everyone in this country supports Liverpool, the media and everyone’ and then brought up the fact they have only won one Premier League title in the last three decades.
-PEP
Sina ubaya ila Mimi nachojua hiyo may 28 nataka munioneshe makombe manne [emoji1787][emoji1787]
Vinginevyo nitacomfirm kuwa mashabiki wote wa Liverpool walienda shule kusomea ujinga kwani wametangaza kwenye media " quadraple" huku hawajui maana yake
Unaongea maneno yaki kahabaWewe mwaka jana ulipotangaza kumfunga Chelsea na kubeba CL ulienda Shule kusomea Ushoga?
Ulipotangaza kumfunga Real Madrid kwa possession Football yako ulienda Shule kusomea Ushoga?
Mbona mwepesi wa kusahau hivi?
Mkuu kweli Manchester City watuuzie Jesus hivi hivi itakua ngumu maana Pep anajua threat ya utawala wake UK ni Liverpool hivyo hawezi kutuimarisha zaidi kwa kutuuzia Jesus. Japo kama ingewezekana pale tumepata sharp shooter maridadi.
Hili la Gnabry nasema atue hata leo.
Kwa Mane na Salah siwezi kuwalaumu kwa kutaka zaidi wanacho offer FSG maana mpaka sasa waliodoka wataodoka wakiwa ma Legend. Ni aibu dogo Sancho bila hata Carabao anakula 350k kwa wiki huku tukikomaa na wage cap timu pinzani washastuka wanatoa mkataba wa miaka minne na ofa kwa wiki 400k sasa umri haurudi nyuma na vijana wanajua wakishafika 35 haoo kucheza America..
Ngoja tuone muda utasema.
Sitegemei Klopp akomae na akina Elliott kama mbadala wa Salah au Mane pale mbele.
Lazima usjili ufanyike. Wauzwe Ox,Keita, Taikumi, Neco, Phillips wapate mpunga wa kuingia sokoni. Pep kashatuma ujumbe kwa Haaland.
YNWA
Huyu Son isingekua yule kipara Daniel Levy alitakiwa atue Liverpool tu ndio mahala pake hua naonaga baada ya gemu Klopp hua anateta nae mawili matatu na dogo huonekana mwenye furaha.
Msimu huu Son amejitahidi sana kufung magoli yote yale bila penati...
Salah leo ugenini awe na utulivu na magoli atapata... Katika gemu 12 za hivi karibuni amefungu ile mechi ya Manchester United tu.
YNWA
Man u anatafutiwa daraja la kucheza CL[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona kashasema kuwa Liverpool wako vizuri kwenye European competitions lakini ndani ya ligi,ni hollaHakuwa na haja ya kuisema Liverpool kwanza angeanza na Jiji lake la Manchester ingawa Man United imefulia uwanjani lakini still Man City imeshindwa kupendwa na Washabiki waliopo ndani ya Jiji lake mwenyewe bali wanaisapoti Man United iliyofulia.
Pia asiishie kutoa mfano wa EPL tu! Pia aseme ndani ya hiyo miaka 30 tumeshinda [emoji116][emoji116]
Kwenye hicho kipindi cha miaka 30 hakuna Timu yoyote ya kiingereza iliyofanya hayo.
- UCL 2
- EuropaL eague 1
- UEFA Super Cup 3
- UEFA Club World Cup 1
Kushindwa kwake kufanya kitu CL asitake kuona kuwa ni makosa ya Liverpool.
Hapo ndiyo ajue kuwa Wazungu sio wapumbavu hakuna atakayependa Timu ya oil money ambayo uendeshaji wake unategemea na ubora wa soko la mafuta.
Atazidi kuumia manake UEFA sasa wanataka kuizawadia Manure nafasi ya kushiriki CL ingawa haijafuzu kama ni heshima ya ukubwa wake.
😥😢😥I feel sorry for city fans,kwa kua hamtachukua ubingwaMan u anatafutiwa daraja la kucheza CL[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
yuko benchiSalah msimu huu alikuwa na uwezo wa kufikisha hata goli 30 lakini ana tatizo nimeligundua! Football brain yake haipo sawa na wala si ubinafsi kama watu wanavyodhani.
Kuna wakati Salah unamuona hasa ametengeneza nafasi ya wazi ya kufunga yeye mwenyewe na uwezo wa kufunga anao lakini unamuona hasa kuwa anaupiga mpira kwa kubutua bila ya malengo yoyote.
Na unaweza kumuona anakwenda na kipa 1 vs 1 lakini akimkaribia basi hapogi golini bali anabutua kama anayembabatiza Kipa huku anamkimbia.
Anamkuta anamkimbia na mpira ndani ya Boksi then huoni kuwa ana lengo la kufunga bali anampiga nao huo mpira beki yoyote aliyepo mbele yake.
Hivyo nahisi football brain ya Salah imekuwa na shida kubwa kiasi ya kwamba kama hajui anafanya nini pale uwanjani.
Salah akitulia ana uwezo wa kutoka na goli kila machi kama alivyopania siku ya Manure au atakavyopania kwenye Fainali vs Real Madrid.
Jaribu kumcheki kwenye game ya leo usiku utaligundua tatizo la football brain ya Salah.
Sio Sarah rekebisha hiyoNiliwahi kusema kuna siku ubinafsi wa wachezaji fulani kama Sarah kutompa pasi Diaz utaigharimu timu, sasa ndicho kimetokea kwenye mechi yetu na Totteham[emoji3525]
Yaah inawezekana tusichukue but ,kila kitu kina muda wake ..! Cha mhimu ni kuhakikisha tunakuwa na kikosi hatari Sana pep hajachukua CL Barcelona kwa kubahatisha ,alikuwa na kikosi ambacho hata asogee nani lazima apigike ....![emoji26][emoji22][emoji26]I feel sorry for city fans,kwa kua hamtachukua ubingwa
[emoji24][emoji24]
Man U sio anatafutiwa daraja, hao viongozi wa UEFA wenyewe wanatambua kua bila ushiriki wa Man Utd haya mashindano yao yanakosa mvuto na kupoteza ladha.Man u anatafutiwa daraja la kucheza CL[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hili lipo wazi mwanzoni kabisa baada ya kukosa Kombe la Afcon wapo baadhi ya mashabiki waliuliza je hii haitamdhulu Salah kupoteza makali yake na kipindi kile alikua hata hajakaa mechi 12 bila goli mbali ilikua kama utabiri fulani, bhanaaa miezi kadha mbele yametokea ni kweli kabisa ipo tatizo kwa Salah kutofunga sio kukosa uwezo kwake mbali hii ishu ipo ki mental zaidi.Salah msimu huu alikuwa na uwezo wa kufikisha hata goli 30 lakini ana tatizo nimeligundua! Football brain yake haipo sawa na wala si ubinafsi kama watu wanavyodhani.
Kuna wakati Salah unamuona hasa ametengeneza nafasi ya wazi ya kufunga yeye mwenyewe na uwezo wa kufunga anao lakini unamuona hasa kuwa anaupiga mpira kwa kubutua bila ya malengo yoyote.
Na unaweza kumuona anakwenda na kipa 1 vs 1 lakini akimkaribia basi hapogi golini bali anabutua kama anayembabatiza Kipa huku anamkimbia.
Anamkuta anamkimbia na mpira ndani ya Boksi then huoni kuwa ana lengo la kufunga bali anampiga nao huo mpira beki yoyote aliyepo mbele yake.
Hivyo nahisi football brain ya Salah imekuwa na shida kubwa kiasi ya kwamba kama hajui anafanya nini pale uwanjani.
Salah akitulia ana uwezo wa kutoka na goli kila machi kama alivyopania siku ya Manure au atakavyopania kwenye Fainali vs Real Madrid.
Jaribu kumcheki kwenye game ya leo usiku utaligundua tatizo la football brain ya Salah.
kwanza kuna hili la mkataba wake
pili kuna Afcon
tatu kuna kukosa World Cup.
We ndio unajua leo? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kumbe huwa tunabishana na mtu anayeangalia mpira LiveScore [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]kudadekiiii
Hahaha mkuu un imani kali balaaa yaaani Kipara atuuzie Jesus yaaani Mansour yupo tayari kuwaomba PSG wamchukue na huo mshahara nusu alipe yeye.Anaweza kutuuzia kwasababu amebakisha mwaka mmoja tu kwenye Mkataba wake hivyo anaweza kuforce move.