Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Pep kashaanza kuweka silaha za msimu ujao.
Next anamsaka MF.
YNWA
View attachment 2218305
Naona mambo usajili yameanza kwa kasi sana.
Bayern haooo wanamtaka Mane.
YNWA
Nimeona wengine wanasema hio tuzo ya writers angepata VVD au KDB.
Ngoja tuone namna gani ili ligi inaisha.
Kura yangu PFA naona ikitua kwa KDB, Salah, Mane.
Kocha bora naona Klopp au Eddie Howe wa Newcastle.
YNWA
Kweli wana mpangilio safi kuchukua pale pale kwao mara nyingi sana lakini pia huchukua nje ya pale sana sana wenye umri mdogo kwa mfano kuna ma dogo wawili kutoka Ajax wanatua pale Juni hii.Bayern hawajawahi kusajili Super star hata siku moja.
Mara nyingi anachukua vipaji kutoka Timu za Bundesliga au waliopo kwenye Ligi ambazo wanamalizia Mikataba.
Hivyo wanaweza kuvizia Kumalizika mkataba wa Mane ili wamsajili kweli.
But nasisi lazima tuwapokonye Gnabry.
Salah anakosa magoli lakini mengine naona bado anayo kama expected shot bado yupo juu na threat pia kwa mabeki awepo uwanjani.Hata baada ya Salah form yake kupotea bado ana good stats interms of assists and chances created.
Hivyo akiwa kama Winger bado zinambeba kuwa anatimiza majukumu yake kwani mwisho wa siku hahukumiwi kama Striker bali ni Winger hivyo kuassist na kutengeneza nafasi anaonekana anatimiza majukumu yake.
Arse8 huyu Hana madhara yeyote huyu Walla atusumbui kichwa ..tunamlia time tu. Huyu ata aakienda UEFA ataishia hatua ya makundi tu na kisha atarudi zake Europa maana ndipo maskani take yalipo.
Hii kazi itakuwa siyo ya kitoto maana wote Wana munkari wa kubeba.
Kumbe huwa tunabishana na mtu anayeangalia mpira LiveScoreHii kazi itakuwa siyo ya kitoto maana wote Wana munkari wa kubeba.
Real Madrid anataka kuendeleza ubabe wake wa UCL.
Liverpool anataka kulipiza kisasi Cha 2018.
Hahaha itakuwa siyo powa.
Ukicheki vikosi vyote mezani, Basi Liver amekamilika Kila idara ..Yani kwa ushindi wa mezani Basi ana % karibu 60 za ushindi.
Madirid ni Kama underdog tu yani wao wana 40% ya ushindi tu.
Timu zote mbili Zina kwaliti ya wale wachezaji wenye uwezo wa kubadili matokeo muda wowote. Mfano real Wana watu Kama Cruz, Modric, unaeza tangulia ata kwa goli mbili lakini gafla bin vuu zinarudi zote. So itakuwa game nzuri Sana.
Mimi siyo mtazamaji Sana wa mupira Mara nyingi Mimi na deal na livescoo tu haha Ila hii game aise lazima nitazame.
Yeyote atakayeshinda atastaili Ongera zangu.
#CFC![]()




kudadekiiiiMane wetu asiende popote jamani

Wolves ampige Man city
Kijana wetu mpendwa


Hawa wajinga lazima tuwafunge

ile mechi niliangalia nililia, natamani hata niingie kucheza na Mimi.Ukiangalia kiundani na kumfatilia mchezaji kila mmoja kwa wakati wake, utagundua wachezaji wote ni wabinafsi.Niliwahi kusema kuna siku ubinafsi wa wachezaji fulani kama Sarah kutompa pasi Diaz utaigharimu timu, sasa ndicho kimetokea kwenye mechi yetu na Totteham
Huyo hawezi kujikaza kuangalia mechiKumbe huwa tunabishana na mtu anayeangalia mpira LiveScorekudadekiiii
,ikifika HT naenda kuoga kuondoa uchovu wa mtanange.