Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,446
- 32,863
Fainali ya Uefa Champions League 2018 na mwaka jana walitutoa pia Uefa hivyo hii sasa tuna jambo letu.Hawa wajinga lazima tuwafunge
Najua Salah Atacheza kufa na kupona
Mwaka gani ule yalitutoaga,nna hasira nao yaani[emoji51][emoji23] ile mechi niliangalia nililia, natamani hata niingie kucheza na Mimi.
Hii ya mwaka jana hatungeweza kwenda nao sawa maana tulikua hoi defence.
YNWA