Chimemena
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 1,376
- 453
Aston Villa vs Liverpool
Live streaming link 👇
Live streaming link 👇
Huyu dogo Son sio wa pale Spurs basi tu ku negotiate na Daniel Levy ni mtihani sana hakuna klabu ina hamu na huyo Kipara LevyNa akaweka historia kuwa mchezaji pekee kufikisha goli 20 bila penalti katika klabu hiyo ya Tottenham Hotspurs tangu kianzishwe
link tafadhari
hii link siiielewi mzee![]()
hii link siiielewi mzee
Haliyeyuki hata mojaMakombe 4 yanaanza kuyeyuka
Unacho sema ni sahihi wanapendana balaa wale jamaa.Na Spurs wanaweza kumtengenezea mazingira ya penalti au pasi ili afikishe goli nyingi kuvaa hicho kiatu. Pale mbele Spurs wanapendan sana na hawan ubinafsi. Kane lazima atahakikisha Son anafikisha zaidi ya goli 23
Hahhaha livscore Chugga bhana....Hii kazi itakuwa siyo ya kitoto maana wote Wana munkari wa kubeba.
Real Madrid anataka kuendeleza ubabe wake wa UCL.
Liverpool anataka kulipiza kisasi Cha 2018.
Hahaha itakuwa siyo powa.
Ukicheki vikosi vyote mezani, Basi Liver amekamilika Kila idara ..Yani kwa ushindi wa mezani Basi ana % karibu 60 za ushindi.
Madirid ni Kama underdog tu yani wao wana 40% ya ushindi tu.
Timu zote mbili Zina kwaliti ya wale wachezaji wenye uwezo wa kubadili matokeo muda wowote. Mfano real Wana watu Kama Cruz, Modric, unaeza tangulia ata kwa goli mbili lakini gafla bin vuu zinarudi zote. So itakuwa game nzuri Sana.
Mimi siyo mtazamaji Sana wa mupira Mara nyingi Mimi na deal na livescoo tu haha Ila hii game aise lazima nitazame.
Yeyote atakayeshinda atastaili Ongera zangu.
#CFC💙💙💙
EPL ilishayeyuka hapa ni kukamilisha ratiba tuMakombe 4 yanaanza kuyeyuka
SarahSio Sarah rekebisha hiyo
Au Liverpool wana mchezajo anaitwa Sarah




