Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hii mechi ya leo muhadhirika ni Liver hata ikishinda. Watatoka hapa na majeruhi ya kutosha kwa sababu nguvu kubwa inatumika. As a result Fabinho OUT for injury na mbado
Anaingia mzee mzima
 
Hii mechi ya leo muhadhirika ni Liver hata ikishinda. Watatoka hapa na majeruhi ya kutosha kwa sababu nguvu kubwa inatumika. As a result Fabinho OUT for injury na mbado
Anaingia mzee mzima
Hahaha aisee subiri Jumamosi fainali tutaelewana.

YNWA
 
🙆🏿 🙆🏿 🙆🏿 🙆🏿 🙆🏿 🙆🏿 🙆🏿 🙆🏿 🙆🏿 🙆🏿 🙆🏿 🙆🏿 Keita jamani.

Haya

YNWA
 
Screenshot_20220510_223947_com.android.chrome_edit_98643364343280.jpg

Screenshot_20220510_224023.jpg



YNWA
 
Hii butua butua ya leo kali. Liver wamelazimishwa wasicheze game lao na wao wanabutua kama Aston villa
Angalau FH iishe tugange ya Second Half
 
Screenshot_20220510_223129_com.android.chrome_edit_98075614758471.jpg



Duuuh Manchester City wametumia pesa zote hizi na hawana Champions League hata moja duuh no wonder Kipara Pep alikua mdogoooo kama pilitoni pale Los Blonco.

YNWA
 
Leo Liver wanacheza kwa presure na stress ku wa. Kila wakiwa na mpira zimwi la city liko mbele yao. Hapo hawatakaa wacheze vizuri unless Klopp awajenge kisaikolojia
 
Douglas Luiz ni home boy wa Manchester City naona leo ana jambo lake.

YNWA
Sio kwamba mmezidiwa Sasa mnaanza kusingizia wachezaji wametumwa na city

Kiufupi nyie ni timu ya kawaida tu na mnafungika mkuu ,ifike mhali muache kuvimba vichwa kama matikiti
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom