Miguel Alvarez
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 3,350
- 6,419
Safi
Tunaupiga mwingi mno, bado magoli tu kila kitu tumeshafanya
Tunaupiga mwingi mno, bado magoli tu kila kitu tumeshafanya
Kupak bus ni mbinu za mchezo, sio timu zote zinaweza.Hiv kumbe na Tottenham wanawaza ku paki bus?View attachment 2215912
Link
Spurs wanapiga mpira flani wa mahesabu makali sana mmmmaaamaeee
Niliandika hapa, you're not technically secured, Spurs hawawezi hata kubuild play, wanapiga pasi mbili tayari wapo kwenye final third, so how is it possible? wachezaji wanahitaji kustep up, vinginevyo wanamwachia city ubingwa.Liverpool hawapo secure kabisa mechi ya leo nahisi uchovu , Conte naye anadefend small space na kuattack big space
Wana mpira gani zaidi ya counter attack wanazocheza? Conte Kwa mpira huo ndio anataka kuchukua EPL kweli?Spurs wanapiga mpira flani wa mahesabu sana mmmmaaamaeee