Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,470
- 32,921
Hahaha Roma sioni wakamtoa hivi hivi ni kweli Arsenal walitajwa kumtazama lakini Mourinho itakua ngumu kumwachia.Italy ligi nyepesi kule ..alafu uyu dgo akipata kocha Kama Klopp au ata arteta Basi ata shain sana
#CFCπππ
Na ili tuchukue ubingwa lazima city Adroo na apate atleast hata moja nanikitu kisicho wezekana aisee, safar yetu imeishia hapo tusijipe matumain ambayo hayapo.Hili kombe la kipara Mzee ... City mwenzenu ana cha kupoteza sahv hayupo FA , wala uefa ya kuiwazia ..hapo j5 klop anaweza akaumiza Kichwa kufanya rotation game ya Aston villa wkt city game yake yy anaweka bampa to bampa ...yaan mtegemee cjui wolves wawastopishe city sahauni
wazee wa imagine being liverfools bhana [emoji23]
Kabisa mkuu tusitegemee kwamba atafungwa na hata kama akifungwa sizani kama tutamuacha kwa goal difference, saiv goli zetu za kusua sua tukifunga sana sana hazizidi goli 3.Mwendo wetu epl tumemaliza tayari daah
Hongereni city maana jamaa wameanza kutoa dozi nzito
Wewe nae nae, unakujaga hum kwa mbwembwe alafu ukipigwa unatoka nduki tuachie Liverpool yetu.Muwekeze kwa UCL final, mkipigwa huko bas mjipange mwakan [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yupo chini ya special one huyu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwahiyo hawa Kampany na Yaya Toure wanachezea Timu gani sasa hivi ewe Kichwa Tikiti Maji?
View attachment 2217314
Dogo unaushabiki mandazi hivi em acha matusi kwa wakubwa zako, yaan mashabiki wa man city mnashindwaga kutoa hoja za maana hadi mtukane? Huyo unaye mwambia akainamishwe huenda ni baba yako.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] anakusubiri nawee akakuinamishe, andaa pain killer, wafaransa unajua show zao? Ooooh usiseme sijakuambia.
Mkuu ndio maana mimi nashauri ni bora tuachane na Epl tuwe tunapumzisha wachezaji muhimu ili tupamba ne na FA na UCL.Naona Kama EPL inataka kukukimbia hivi ..maana Jana umedrop point mbili vs Spurs na City kafumua mtu tano uko.
UEFA final uko na Madirid na siyo game nyepesi hiyo.
FA final uko na Chelsea na pia ni 50,50 maana kwa Sasa tunachechemea Ila lolote laweza kutokea.
Je, ikitokea umekosa makombe yote matatu utamlaumu Nani? Maana kikosi chenu kwa Sasa kipo [emoji91][emoji91] ..tusubiri tuone msimu huu mutavuna nini.
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
Kabisa mkuu, kumbe wewe umenielewa sasa.Pep ameweka Standard mpya ya kuwa ili ubebe EPL ni lazima uwe na uwezo wa kukusanya points 94+ tofauti na kabla yake ambapo points 82 tu unakuwa Bingwa.
Hivyo kutokana na Standard alizoziweka Pep ili uchukue Ubingwa ni lazima mpaka ikifika Januari uwe umemuacha kwa points 7+ kama tulivyofanya mwaka juzi.
Lakini akikupita yeye kwa point 1 tu inakupasa kuusahau Ubingwa.
Anasemaje huyu?View attachment 2217378
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Bhana sie tutafunga muda wote ikitokea nafasi.
YNWA
Hili jukwaa letu limefikia hatua ya kuvamiwa na mlevi kama huyu jamani.man city kapoteza mechi mbili tu fa na hii ya ucl
liverpool anabutua lile soka lazaman
Chelsea hata arsenal anamtoa nafasi ya tatu, ataenda nafasi ya nne , spurs atamtoa nafasi ya nne pia kisha anaenda kucheza EUROPA.Poleni, mkuu maana hamna mtakachoambulia msimu huu. Hiyo FA huna uwezo wa kutuzuia
Uliuangalia mpira vizuri jana lakini, au mahaba niue juu ya Salah ndiyo yanakutesa [emoji848][emoji28]
Bhana, Special One kaweka rekodi ya kua kocha wa kwanza kufika fainali zote UCL, Europa na sasa Conference.Yupo chini ya special one huyu.
Na Juzi special one was so emotional kufika final ya uropa conference.
Hana jipya ni utani tu kwamba ana mshauri Klopp tusiwafunge Real Madrid goli la kwanza ni mtego ili tutulie watuzime πππππππππAnasemaje huyu?
Atuache [emoji23]
Nimecheka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]Hana jipya ni utani tu kwamba ana mshauri Klopp tusiwafunge Real Madrid goli la kwanza ni mtego ili tutulie watuzime [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
YNWA
Huyu anastahili, ila hatapewa kwakua n African, Lol.View attachment 2217436
Mane for FA.
Mane for UCL.
Mane for EPL slim chance now.
Mane for Ballon [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
YNWA
Kwani Jota sio n.9 halisi?Hahaha Roma sioni wakamtoa hivi hivi ni kweli Arsenal walitajwa kumtazama lakini Mourinho itakua ngumu kumwachia.
Dogo ana kipaji na chini ya Mourinho ame improve sana.
Klopp sijajua lini atarejea kutumia namba 9 halisi kwa sasa naona hii false 9 inampa anachokitaka.
YNWA
Dah ... Kinyonge sana [emoji1][emoji1] kweli maisha yanabadilika ... Leo hii unatumia kauli ya "mpira unadunda" ... Kweli hali hoi ....Mpira unadunda munajiamini Kila game mutashinda siyo..